princess enny JF-Expert Member May 27, 2012 1,038 379 Jun 12, 2012 #1 kuna dogo mmoja alikuwa anafuatilisha tangazo la EATV!!! "together tunawakilisha" nikamuuliza together maana yake nini akasema "tunawakilisha" hayyyya tena na we tupia lako ambalo ulilielewa ndivyo sivyo!
kuna dogo mmoja alikuwa anafuatilisha tangazo la EATV!!! "together tunawakilisha" nikamuuliza together maana yake nini akasema "tunawakilisha" hayyyya tena na we tupia lako ambalo ulilielewa ndivyo sivyo!