Umeme wa Bwawa la Nyerere utawashwa wote au ndo zitakuja ngonjera?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Umeme wa Bwawa la Nyerere utawashwa wote au ndo zitakuja ngonjera?

Kuna mtu alishanitonya kuwa hata bwawa likikamilika zitakuja ngonjera kuwa matarajio ya kupata megawatts 2100 hayapo na kwamba mambo yameenda ndivyo sivyo na kwamba zinazozalishwa ni megawatts 400 tu 500 ndo pekee bwawa limetoa kinyume na matarajio

Na umeme habari yake itabaki vile vile tu migao kama yote na watakuja na miradi ya solar, jenereta/mafuta upepo na gesi kama miradi ya upigaji

Tuanzie hapa kwanza umeme wa bwawa tunaanza kupata lini?

Maana serikali inayoongozwa na Mwitongo agreements siiamini kama ipo kutetea wananchi

Mpaka leo mwendokasi mbagala 0%

Ile ya keko 0%

Sgr 0%

Yaani miradi yote imesimama na watu wapo tu

Hili bwawa la Nyerere litahujumiwa hadi mtalionea huruma mwaijuwa hii nchi vizuri?Kwasasa nchi inaongozwa na kupitia mwitongo agreement unategemea nini?
 
Ningekuwa kiongozi (jambo ambalo sio na siwezi)

🔹 Ningeifanya bandari ya Dar es salaam FREE PORT

🔹 Baada ya bwawa kukamilika Ningeifanya umeme bure

🔹 Ningejikita kukusanya Kodi tena ndogo Sana

🔹 Baada ya miaka kumi wazungu wangekuja kuomba kufanya vibarua Tanzania
 
Umeme wa Bwawa la Nyerere utawashwa wote au ndo zitakuja ngonjera?

Kuna mtu alishanitonya kuwa hata bwawa likikamilika zitakuja ngonjera kuwa matarajio ya kupata megawatts 2100 hayapo na kwamba mambo yameenda ndivyo sivyo na kwamba zinazozalishwa ni megawatts 400 tu 500 ndo pekee bwawa limetoa kinyume na matarajio

Na umeme habari yake itabaki vile vile tu migao kama yote na watakuja na miradi ya solar, jenereta/mafuta upepo na gesi kama miradi ya upigaji

Tuanzie hapa kwanza umeme wa bwawa tunaanza kupata lini?

Maana serikali inayoongozwa na Mwitongo agreements siiamini kama ipo kutetea wananchi

Mpaka leo mwendokasi mbagala 0%

Ile ya keko 0%

Sgr 0%

Yaani miradi yote imesimama na watu wapo tu

Hili bwawa la Nyerere litahujumiwa hadi mtalionea huruma mwaijuwa hii nchi vizuri?Kwasasa nchi inaongozwa na kupitia mwitongo agreement unategemea nini?
Nyie mnaesema prezidaa ananguvu hapa Tz, nawakatazia huyu prezidaa Hana nguvu kwa vigogo wa ccm ulioshikilia mpini!
Magu mwenyewe ilikuwa ni mbinde mbinde mpaka wakapanga kumtowesha!
 
Maskini hakuna hata kimoja kakamilisha tumerudi gizani saiv natype Niko gizani tena kwenye jiji kubwa kabisa miongoni mwa yanayoitwa majiji yetu am so disappointed na hii nchi naumia sna kuona vitu vidogo vinatushinda
 
Ndo tz kaka
 
Back
Top Bottom