Tupia humu za Christmass...

Tupia humu za Christmass...

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Tupia kwenye huu uzi chochote kinachohusiana na xmass tuanze kujipa mzuka wa xmass mapemaaa

Athens_Christmas_Tree.jpg
free-christmas-wallpapers.jpg
Christmas-Town.jpg


christmas-wallpapers-backgrounds-6.jpg


a-charlie-brown-christmas.jpg
 
enyi watu wote furahini sana
kwani leo ukombozi wetu umetimia
leo kazaliwa yesu mkombozi
furahini sana furahini
fura hini watu wote
furahini watu wote furahini sana
leo kazaliwa mkombozii
 
Nyie mna habari kuwa sherehe ya chrismas ilianzishwa na WAPAGANI.
Na father Christmas alibuniwa na CoCa CoLa.

Nadhani mtashangaa sana! Lkn hio ni kweli tupu
 
Salute Mkuu

Picha nzuri sana zinajieleza zenyewe
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom