Tupia humu za Christmass...

Tupia humu za Christmass...

Nyie mna habari kuwa sherehe ya chrismas ilianzishwa na WAPAGANI.
Na father Christmas alibuniwa na CoCa CoLa.

Nadhani mtashangaa sana! Lkn hio ni kweli tupu

Haya....Merry X-mass mkuu....Sisi twajiandaa balaaa....
 
Nimependa sana jaman....nadhan hakuna msimu naupenda kama huu,....Ila kiukweli wazungu wanajua sana kusherekea x-mass
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom