GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,065
- 6,769
Iyo malebo noma sana by pst munishMabibo choir.....sauti halafu kuna kitu Malebo

moto moto eeh fire x 2 doze doze
Rhumba gospel
Wakuu naomba tutupie nyimbo kali za gospel zilizobamba sasa na zamani hapa bongo na east africa kwa ujumla. Hii itatusaidia kuzidownload pia na kutafuta album husika. Hii iwe special thread.
Agape Gospel Band Ft Rehema Simfukwe - Amejibu Maombi (Live)