charldzosias
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,448
- 3,334
hahah yakimataifa hiyo kulalekiMkuu umeua mkuuu
Daaaaaah
hahah yakimataifa hiyo kulalekiMkuu umeua mkuuu
Daaaaaah
Hatari sana mkuuhahah yakimataifa hiyo kulaleki
Hahaha hahaha hii ndio komeshaWe waited yooouuu but where ( tumesubiri wee lakini wapi)
AhhahhaCut cut the onion good - katakata vitunguu vizuri
Mkuu weka na kiswahili chakeeDon't use money as stick mother things of today needs agremments and then money ets its values
Usitumie pesa kama fimbo mama mambo ya sasa yataka makubaliano........Mkuu weka na kiswahili chakee
AaahhahaLook very you will go with water (anagalia sana utakwenda na maji)
Duuh hatari sanaChair fire
Kiti moto (mbuzi Catholic)
nimerekebisha mkuu twende sawaHapa umebugi mseee.. mbona DUNIA hairelate na chochote hapo