Tupia best photo editing yako 2020

Tupia best photo editing yako 2020

painboy

Senior Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
110
Reaction score
51
Kama kichwa kinavyoeleza .Tupia photography editing yako au uliyowahi kuiona mahali na wadau watakupa like zako za kumwaga

TWENDE SAWA SASA...
FB_IMG_15790272497791597.jpeg
FB_IMG_15790272767562371.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
FB_IMG_15790272872991994.jpeg
 
Hapana tutake radhi watu wa morogoro sio matomaso kiasi hicho

Morogoro huwa inazalisha watoto kibao ambao huwa wanakuja kuwa watoto wa mjini especially in dar ..as you know dar ndio alama ya tz ...ukiweza kui-run dar it means wewe Ni mjanja wa tz
Ww no mtu was kigoma au morogoro

yess BiShoo haswaaA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana tutake radhi watu wa morogoro sio matomaso kiasi hicho

Morogoro huwa inazalisha watoto kibao ambao huwa wanakuja kuwa watoto wa mjini especially in dar ..as you know dar ndio alama ya tz ...ukiweza kui-run dar it means wewe Ni mjanja wa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua my way kgma uyu

yess BiShoo haswaaA
 
fundi bishoo
Mbona unatushusha hadhi watu Wa kigoma Mzee tuombe radhi kabla masheikh Wa ujiji hawajasoma kisomo huyu atakuwa dogo Wa mikoa mingine Ila siyo kigoma.
 
Back
Top Bottom