Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,985
Ah,mama mchungaji ladyfurahia,hata ufanye nini,nafasi ya mwanaume kama kiongozi/kichwa cha familia lazima itabaki palepale!
Shida wanawake wengi wamekuwa jeuri na kiburi siku hizi kwa waume zao,na hili ndilo huleta mitifuano!
Yaani nikubali mke wangu anishike masikio?
THUBUTU!!
Shida wanawake wengi wamekuwa jeuri na kiburi siku hizi kwa waume zao,na hili ndilo huleta mitifuano!
Yaani nikubali mke wangu anishike masikio?
THUBUTU!!
Last edited by a moderator: