ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,591
helooo waungwana wapendwa wangu
Natumaini hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli, kazi, biashara, masomo na pia
mambo mbalimbali ya maisha kiujumla na wengine sasa mnajiandaa kwa mitoko ya jioni
muende wapi kumpumzika na uchovu wa kazi za wiki nzima. Wote nawpeni hai na kuwapenda pia.
Kwa kweli leo acha niseme ukweli uliopo ndani ya moyo wangu hususani hawa watu
wanaoitwa WANAUME wamekuwa kero kubwa kwetu wanawake, na wengine wamekuwa watu wa
ajabu sana wao kazi yao kubwa kusema vibaya wanawake, wengine wanafikia hatua ya kuwapiga wanawake utadhani ni kapeti au ngoma vile ambao haiumii kabisa ukipiga. Mtanishangaa marafiki
zangu wapenzi wa humu jf kwanini leo nimetokea kuongea hivi kwani wananikera sana na wengine wanadhubutu kuleta ndoa za mitala bila hata kuwaambia mke mkubwa bila hata woga kabisa,
wengine wanamaswali yasiyo na mkia wala mbuzi,
Ajabu ni kwamba wao wenyewe wanajiona kuwa wako perfect kwa kila kitu na wala hataki kuulizwa chochote kwani wako sawa, hivi kwaniini wanatunyima uhuru wetu hawa, kwanini wanakuwa wagumu kuelewa mambo hata kama unamuaga kuwa nakwenda kwa shangazi kumsalimia basi yeye atajifanya amesahau na kusema ulikuwa wapi mpaka saa hii unaingia home? mara maneno ya ajabu na ohoo
kwanini leo umesuka msuko huo wa ajabu, mara hooo nipe simu yako akiona majina ya upande mwingine ataanza kusema kuwa huyu ni nani au hii namba ya nani? ilimradi tu ni karaha na kutunyimana uhuru
kwani maneno yao ni bora mtu akupige makofi kuliko kukusema hovyo tu kila wakati maana
utaona karaha na utaona kuwa kama ndoa yenyewe ndo hii si bora niondoke. yaani wanauzi sana
tena sana.
Leo nimeona niseme wazi kwani wananiuzi sana tena sana ni bora kuwaambia ukweli ili kama wako wakujirekebisha wajirekebishe na kuwaambia wenzao kuwa wanawake hatupendi kufuatwafuatwa na kunyimwa uhuru kiasi hichi
TUPENI UHURU WETU NASI TUJITAMBE NA KUJIENDELEZA JAMANI
Hayo ndo maneno yangu ya weekend jamani mabest na marafiki zangu naomba msikasirike kwani ukweli nimewapa yabidi mfunguke na kuchukua uamuzi wa busara ni jinsi gani mwaweza kukaa na wake zenu
kwa upendo. Nasema tupeni uhuru wetu nasi ni wanadamu kama ninyi.
Nawatakia weekend njema na Mungu awabariki sana,. Nawapenda nyote marafiki zangu
ila message send