jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,003
Uwekezaji wa miti kwangu mimi hauna tija, unahudumia shamba miaka zaidi ya 10 halafu unakuja kuuza mti kwa sh 20,000 na unapoukata inabidi upande mwingine na kuja kuvuna tena miaka 10 ijayo so elfu 40 kwa miaka 20.
Fanya kilimo cha miti ya matunda hutajuta mfano mchungwa mmoja hata ukiuza chungwa 300 kwa sh 50 = 15000 so kwa miaka 10 = 15,000*7= 105,000/=
Usipopanda ardhi utaifanyia niniKwani ukivuna lazima upande tena?
Duu ili swali, ardhi unaifanyia nini?Usipopanda ardhi utaifanyia nini
Yah reasoning yako inamantiki mkuu,vipi lakini,ulishawahi kuwekeza kwenye miti?Uwekezaji wa miti kwangu mimi hauna tija, unahudumia shamba miaka zaidi ya 10 halafu unakuja kuuza mti kwa sh 20,000 na unapoukata inabidi upande mwingine na kuja kuvuna tena miaka 10 ijayo so elfu 40 kwa miaka 20.
Fanya kilimo cha miti ya matunda hutajuta mfano mchungwa mmoja hata ukiuza chungwa 300 kwa sh 50 = 15000 so kwa miaka 10 = 15,000*7= 105,000/=
Fanya kilimo cha miti ya matunda hutajuta mfano mchungwa mmoja hata ukiuza chungwa 300 kwa sh 50 = 15000 so kwa miaka 10 = 15,000*7= 105,000/=
Uwekezaji wa miti kwangu mimi hauna tija, unahudumia shamba miaka zaidi ya 10 halafu unakuja kuuza mti kwa sh 20,000 na unapoukata inabidi upande mwingine na kuja kuvuna tena miaka 10 ijayo so elfu 40 kwa miaka 20.
Fanya kilimo cha miti ya matunda hutajuta mfano mchungwa mmoja hata ukiuza chungwa 300 kwa sh 50 = 15000 so kwa miaka 10 = 15,000*7= 105,000/=
Ndio nimeifanya, ninafahamu bei ya mti shambani na gharama za kutunza shamba kwa miaka yote mpaka kuja kuvuna. Hii sio biashara kwangu mimiYah reasoning yako inamantiki mkuu,vipi lakini,ulishawahi kuwekeza kwenye miti?
Mkuu ,kwa msaada wa wengi hapa jamvini hebu ungeweka mchanganuo wa kina namna ulivyopitia mkuu,Nia na madhumuni ni wengi wajifunze mkuu.Ndio nimeifanya, ninafahamu bei ya mti shambani na gharama za kutunza shamba kwa miaka yote mpaka kuja kuvuna. Hii sio biashara kwangu mimi
Tikiti ukivuna mche umekufa unaanza upya, kama soko baya imekula Kwako. Hapo nimemaanisha mchungwa, embe, parachichi etc inayodumu zaidi ya miaka 20 hata soko likiwa baya mwaka huu miaka ijayo utauza tuHizi hesabu zimefelisha wengi kwenye matikiti...
Unatakiwa kufanya palizi angalau mara 2 kwa mwaka (Kuna kuchomeana mashamba) na miti ikue vizuri, pia Kuna pruning kila mwaka bei inategemea mahali ulipo. Jumla palizi 30 kwa miaka 15Ninachojua mimi kwa ufupi ni uwekezaji mzuri hasa ukiwa na mtaji. Unachokifanya kila mwaka unapanda miti. Ikifika muda wa kuvuna kila mwaka unavuna na kila mwaka unapanda.
Ila naonaga hii biashara inawafaa zaidi matajiri. Ila kwangu ni biashara nzuri.
Aisee mkuu una akili Kama zangu.Unatakiwa kufanya palizi angalau mara 2 kwa mwaka (Kuna kuchomeana mashamba) na miti ikue vizuri, pia Kuna pruning kila mwaka bei inategemea mahali ulipo. Jumla palizi 30 kwa miaka 15
Kuhudumia shamba kwa miaka 15 bila kuingiza hata shilingi ni rubbish. Mfano njombe/iringa shamba la miti yenye miaka 7 na ardhi wanauza 3-6m, miaka 3-4 laki 5-7
Hapo kwenye changamoto hebu fafanua zaidi mkuu.Mosi; kuna changamoto ktk uwekezaji huu, usiweke hela kwenye miti kama cash flow yako ni ya mawazo sbb unaweza kuambulia majivu. Sio uwekezaji wa muda mfupi, ili upate faida ni lazima uende zaidi ya miaka 15 mpaka 23 hivi. Aina ya miti na scale ni muhimu sana kuijua ili kufikia malengo.
Pili; mabadiliko ya sera, anguko la uchumi kwenye jamii linaathiri sana uwekezaji huu.
Tatu; kwa wenye pumzi huu ni uwekezaji mzuri kama sector nyingine.
Ulipotea sana,Mosi; kuna changamoto ktk uwekezaji huu, usiweke hela kwenye miti kama cash flow yako ni ya mawazo sbb unaweza kuambulia majivu. Sio uwekezaji wa muda mfupi, ili upate faida ni lazima uende zaidi ya miaka 15 mpaka 23 hivi. Aina ya miti na scale ni muhimu sana kuijua ili kufikia malengo.
Pili; mabadiliko ya sera, anguko la uchumi kwenye jamii linaathiri sana uwekezaji huu.
Tatu; kwa wenye pumzi huu ni uwekezaji mzuri kama sector nyingine.