Tupeane uzoefu...

muyango09

Senior Member
Joined
Dec 1, 2020
Posts
173
Reaction score
161
Wanajamvi habari za jioni wakuu tupeane mbinu "Hivi mwanamke akijifungua inatumia muda gani mpaka asex mana wife kajifungua ndo wiki inakata hivi lakini kwa mwanaume rijali inakuwa ngumu kuvumilia sijui nitumie njia gani ushauri wenu wakuu"
 
Pole mkuu ...sina chochote cha kukushauri sababu sipo huko ila ngoja waje ....
 
Vumilia miezi 6. Mpe muda mkewako apumzike na harakati za kabla na baada kujifungua.
 
Miezi 6 yafaa zaidi ingawa wapo baadhi ya wanawake wanaweza kuanza kutiana baada ya miezi 3
 
Atajileta mwenyewe chumbani kwako, au una chumba kimoja?
 
Kama tundu yake haina shida ,piga mambo maana ndio kazi yake,achana na habari za kusubiri nusu mwaka,,hiyo K ikipona yafaa kutumiwa
 
Mwambie mkeo awe mbunifu na wewe pia jiongeze mzee,si lazima pipe izame kule pangoni....

,...Ila apo pia ndo utajua kwann baadhi ya Imani ktk vitabu vyao wameruhusu kuona mke zaidi ya mmoja.

Namshukuru Sana Mungu kea kunijalia Imani hyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…