jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,131
- 8,655
Watu wa mkoani mnapaona bongo kama ulaya eehjamani tupeane uzoefu siku yako ya kwanza kuja dar ws salaam aka bongo ilikuwaje?
na je kwanin vijana wengi wanaoishi dar hawana maendeleo kiasi cha kushindwa na wageni wanaotoka mikoani kwa maisha mazuri?
wakati wa bongo wanaona bongo bahati mbayaWatu wa mkoani mnapaona bongo kama ulaya eeh
Rubi pls say u - true remember dar is not sportBorn here here
Rubiikimimi
Huwezi achwa salama kwa kutoitwa mwanaume wa Dar
Ngoja keshokutwa nakuja huko...sihitaji wa kunipokea kwa maana mnajifanya wajanja sana..hata mimi mjanja kudadeki
sio povu...nyie wadaslam mnajikuta wajanja wajanja kila kitu mnajuaMkuu mbona povu sana?
Unatokea mkoa upi?