Tupeane uzoefu mchujo wa sekretariet ya ajira.

Acha uongo, hayo mambo yameshapitwa na wakati tayar
Kweli mkuu hakuna hata dalili ya kunuana kuwa inatumika pale labda kama watawaingiza mwisho kila mpaka oral ni akiri yako tu unapita
 
Hongera mkuu tushituane waki anza kuita
 
Acha uongo, hayo mambo yameshapitwa na wakati tayar
Yamepitwa na wakati lini..!! acha kufariji watu hiyo ndio hali halisi...
Nina ushahidi wa kutosha....
Labda ww tuambie haya mambo yamekwisha lini?
 
Kuna watu mkuu wananishangaza sana, eti yamepitwa na wakat, yani 98% ya kazi nyingi watu uingia kwa kujuana ni asilimia 2 nadhani wasiojulikana,, haya tunayaona ukiwa makazini mkuu... Acha kabisa
 
Utumishi wapo fair 90% sio lazima ushikwe mkono... tofauti na hizi interview wangekuwa wanaendesha waajiri wenyewe, sisi watoto wa maskini tusingepata kazi
 
Kweli mkuu hakuna hata dalili ya kunuana kuwa inatumika pale labda kama watawaingiza mwisho kila mpaka oral ni akiri yako tu unapita
Ndiyomaana mkapita chini ya idadi waliyokuwa wanataka. Wale wakushikwa mkono watajazia idadi itimie. Hadi hapo jipe matumaini kuwa umeshatusua mkuu. Hongera kwa hapo ulipofikia.
 
Yeah my thought exactly hizo nafasi watajazia wao wenyewe.
 
Back
Top Bottom