Tupeane updates za matukio ya wizi mitaani

"Unakuta mtu ana mali nyingi ndani ana milioni kumi ila hana hata panga la kujilinda, anategemea polisi tu, huo ni ushamba".... Alisikika jamaa mmoja kutoka kanda ya ziwa.
 
Magufuli alitumia mbinu za Rwanda kuwamaliza majambazi na Sirro anazijua mengine tutapiga kelele tu, Sirro atumie idara zake na mbinu zilezile kumaliza ujambazi ushahidi mnao, rekodi mnazo mnasubiri wafanye matukio ndio mkawakamate hapana, watafuteni majambazi, wakamateni hata kabla ya matukio kikubwa msiwaonee raia wema wasio na hatia
 
Fagia kwanza Police hasa detectives na hao Inspectors hasa hapo oysterbay!

Tena simamia mwenyewe maana shidah wengi ni ndg au jamaa wamaofisa au wana marefa wanawabeba...

Utaona impact kubwa sana.

Halaf kama kweli upo serious tangaza hadharani gharama za mwananchi kutoa ili police watafute simu yako ni shs ngapi, maana huo ni mradi mkubwa sana hapo. Unaweza kukuta wanakutoa laki mpk 3 au zaidi kwa simu uliyonunua laki 8 nk. Vitu km hivi vinawachafua sana na pia kuondoa imani ya wananchi. Yaani pesa mbele tuu...tena wazi wazi !!
 
Nchi hii ni Mali yetu. Usalama wetu ndio amani yetu hapa Duniani. Hatuwezi kuishi na watu wachache mtaani wasiopenda kufanya kazi wakasubiri tufanye kazi wao waje wakwapue na kwenda kukaa viti virefu kuneemeka...
Kwa uchaguzi wa mwaka Jana , polisi wenyewe Ni majambazi tu. Askari gani wanashiriki kuiba kura. What goes around, comes around. walibaka taifa letu mchana kweupe wakadhania itapita hivihivi.
 
Magufuli alitumia mbinu za Rwanda kuwamaliza majambazi na Sirro anazijua mengine tutapiga kelele tu, Sirro atumie idara zake na mbinu zilezile kumaliza ujambazi ushahidi mnao, rekodi mnazo mnasubiri wafanye matukio ndio mkawakamate hapana, watafuteni majambazi, wakamateni hata kabla ya matukio kikubwa msiwaonee raia wema wasio na hatia
Huo ndo ujinga aliofanya Magufuri. Two wrongs does not make it right. Siro mwenyewe alijambazia uchaguzi . Tuliwambia haki huinua Taifa hamkuelewa. Kila mtu apambane kivyake kwa sasa
 
Nchi hii ni Mali yetu. Usalama wetu ndio amani yetu hapa Duniani. Hatuwezi kuishi na watu wachache mtaani wasiopenda kufanya kazi wakasubiri tufanye kazi wao waje wakwapue na kwenda kukaa viti virefu kuneemeka...
Maeneo hatarishi nchini kwa sasa ni maeneo yafuatayo na polisi wazingatie;- milima kintonga, milima senkenke, milima wa low gear babati, eneo la barabara Kati ya kahama kwenda hadi Runzewe, eneo la barabara Kati ya katoro hadi Geita mjini, eneo la biharamulo hadi bukoba, wami chalinze, eneo la ziro ziro hadi tarime,eneo la mikumi morogoro, IGP Linda haya maeneo ni hatarishi hasa muda wa usiku
 
Fagia kwanza Police hasa detectives na hao Inspectors hasa hapo oysterbay!
Tena simamia mwenyewe maana shidah wengi ni ndg au jamaa wamaofisa au wana marefa wanawabeba...
Anaweza kukujibu mwisho ni elfu 20,ili akufurahishe. Halafu ukipeleka inapokelewa kisha unaambiwa subiri tunafatilia, kumbe file lako linaliwa na panya.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
 
Nchi hii ni Mali yetu. Usalama wetu ndio amani yetu hapa Duniani. Hatuwezi kuishi na watu wachache mtaani wasiopenda kufanya kazi wakasubiri tufanye kazi wao waje wakwapue na kwenda kukaa viti virefu kuneeme....
Hatuwezi tukawa wanafiki! Wahalifu wapo, wanajulikana.

Watu wanakwapua mabilioni, matrillioni, wameachwa wanatamba, wengine ndio kabisa wanapewa na nafasi za teuzi. Tuanze kushughulika nao kwanza kisha tuje kwa hawa wadogo wadogo mtaani wanaoiba kuku ambao hawana athari kwa taifa.

Kwanza suala la vijaba kuwa wezi limetengenezwa na ccm. Uongozi mbovu, rasilimali za taifa ambazo zingetumika kutatua changamoto za ajira na umaskini zinafujwa na majambazi ya ccm, mwisho wa siku vijana wanabaki hawana hili wala lile na wao kwa vile role model wao ni jambazi(ccm) na wao wanaanza kuwa wezi
 
Anaweza kukujibu mwisho ni elfu 20,ili akufurahishe. Halafu ukipeleka inapokelewa kisha unaambiwa subiri tunafatilia, kumbe file lako linaliwa na panya.

Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app

Ndiyo maana nimesema kama yupo serious !!
Otherwise aombe tu panga lisijempitia yeye pale anafuga wahalifu wengi wanaojiita wapelelezi...
Kuanzia kale kadogo kangosha, hadi ile mijimama bonge rangi unaweza kutumia chaki...
 
Police wale wale mbinu zile zile naomba waamue kutokomeza ujambazi mara moja naamini wataweza
 
Nalilaumu Jeshi letu la polisi kwa kutangaza swala hili badala ya kufanya kimya kimya. Wangekuwa na nia ya kudhibiti uhalifu wangefanya kwa Siri nakuwavamia.

Hakuna jambazi mpumbavu wa kutekeleza uhalifu kizembe ilihali ameshasikia parapanda Italia kwa miezi mitatu mfululizo. Badala yake majambazi wataongeza umakini au kubadili mbinu za uhalifu.

Nashawishika kusema huwenda polisi ni waoga ndiyo maana wanatanguliza tangazo ili majambazi wajifiche au baadhi Yao wanafaidika na uhalifu unaofanywa na majambazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom