mwanadodoma
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 511
- 1,110
Pole,kama una mkubwa wa kukushika mkono ni kwamba hawa wakisharipoti wewe unaenda na kimemo tu unapokelewa,mawasiliano yanakuwa yameshafanyika kwa Mkuu wa Chuo kule na Chief Instructor,sidhani kama kunakuwa na Official PDF la Second Selection,ni vimemo vya mmojammoja tu kwenda kuripoti,maana hata hawa waliochaguliwa sio wote wataenda kuripoti,kuna wengine tangu walipofanya Usaili watakuwa wameshapata deal sehemu nyingine,kuna wengine wamekufa,wengine wamepata ajali,wengine wamepata mimba nk,namuonea Huruma Ry2199 kama atakuwa amekosa,maana alikuwa na moto sana wa Depomimi nimepigwa chini,ila nilitamani sana sana kujua kama wale wa mzee kanituma kama wanaenda na hawa au wana bogi Lao,ili nianze kujisuka mapema
Kama una mkubwa wa kukushika mmimi nimepigwa chini,ila nilitamani sana sana kujua kama wale wa mzee kanituma kama wanaenda na hawa au wana bogi Lao,ili nianze kujisuka mapema
Beba bag dogo,pale CCP ndani wale maafande wanaoishi mle wanauza kila kitu,pesa yako tu,Hongera kwa kupata nafasiWakuu hivi ni lazima kubeba tranka, na hivyo vifaa vya usafi au unaweza kununua hukohuko
Shukrani mkuu pamojaKama una mkubwa wa kukushika m
Beba bag dogo,pale CCP ndani wale maafande wanaoishi mle wanauza kila kitu,pesa yako tu,Hongera kwa kupata nafasi
😂😂😂 Akomae kama kala ndoigeRy2199 upo kwenye PDF kijana au wamekupiga Ndoige?tupe mrejesho maana ulikuwa na moto sana kijana wangu,yote kwa yote usikate tamaa kama wamekupiga chini
Watakuwa wachache sana... Usikate Tamaa Kijana POLISI SIO MWISHO WA MAISHA.... KUNA MAISHA MAZURI SANA MBALI NA JESHImimi nimepigwa chini,ila nilitamani sana sana kujua kama wale wa mzee kanituma kama wanaenda na hawa au wana bogi Lao,ili nianze kujisuka mapema
700+ Wote Sio Wasomi Ndugu, hapo wapo level zote...Jeshi linaenda kubadilika sana...........Wasomi 700+ hii ni kubwa
HONGERA SANA MKUU KWA KUBAHATIKA KUPATAWakuu hivi ni lazima kubeba tranka, na hivyo vifaa vya usafi au unaweza kununua hukohuko
Watu wamaelekezo tayari wapo kwenye hilo Pdf mkuu...mimi nimepigwa chini,ila nilitamani sana sana kujua kama wale wa mzee kanituma kama wanaenda na hawa au wana bogi Lao,ili nianze kujisuka mapema
Dah,kweli kazi ipo kwa kweli sijisumbui tena na mambo ya majeshi,nitafanya mambo yangu mengineWatu wamaelekezo tayari wapo kwenye hilo Pdf mkuu...
Cha kuomba wewe ni huko CCP watu wanaingia waripoti wachache ama uende mbali sana uvae roho ya mnyama wapungue kwenye vipimo vya huko ndani ila mbali na hapo subili baada ya mwezi na wiki kadhaa wapo watakao tema bungo watachukua jazia nyama (reserve)
Komaa tu mzee huwezi jua ulipopangiwa usichoke kuomba ila haya Mambo ya majeshi ni ya wanajeshi wenyewe asee bila mbuyu kutoboa ni ngumu wanangu waliokua wanategemea bahati wameliwa vichwa ila wale wa maelekezo wote wapo kwenye pdf laoDah,kweli kazi ipo kwa kweli sijisumbui tena na mambo ya majeshi,nitafanya mambo yangu mengine
Usisahau kubeba smatifon yako. Niwe nakutumia vituko vya mafwele na bwana samia.Wakuu hivi ni lazima kubeba tranka, na hivyo vifaa vya usafi au unaweza kununua hukohuko
Baki navyo au unaweza kuwatumia familia yako na watu wako wa karibuUsisahau kubeba smatifon yako. Niwe nakutumia vituko vya mafwele na bwana samia.
Sorry mkuu usafiri ni juu yetu au watatusafirisha naona wamedirect kwa ma rpc au kama kuna mtu temeke tusaidiane wakuuPole,kama una mkubwa wa kukushika mkono ni kwamba hawa wakisharipoti wewe unaenda na kimemo tu unapokelewa,mawasiliano yanakuwa yameshafanyika kwa Mkuu wa Chuo kule na Chief Instructor,sidhani kama kunakuwa na Official PDF la Second Selection,ni vimemo vya mmojammoja tu kwenda kuripoti,maana hata hawa waliochaguliwa sio wote wataenda kuripoti,kuna wengine tangu walipofanya Usaili watakuwa wameshapata deal sehemu nyingine,kuna wengine wamekufa,wengine wamepata ajali,wengine wamepata mimba nk,namuonea Huruma Ry2199 kama atakuwa amekosa,maana alikuwa na moto sana wa Depo
namaanisha kama kuna wa temeke aliyepita msaada info wakuuSorry mkuu usafiri ni juu yetu au watatusafirisha naona wamedirect kwa ma rpc au kama kuna mtu temeke tusaidiane wakuu
Kama uko mjini ni Bora jmos upite pale ukaulize... otherwise mm nko kurasini sijajua kama tutafanana ila usafir so far ni Bure gari zaonamaanisha kama kuna wa temeke aliyepita msaada info wakuu
Na hata sikuizii inakua hvoo mda mwinginee...mfano depo linalomaliza hivi sasa ilikua hivoo piaEnzi naingia Depo ni jukumu la RPC wa Mkoa unakoingilia kukusafirisha mpaka CCP mkisindikizwa na Askari wake mmoja au wawili atakaowateua,hivyo RPC anakodi basi mfano vijana wa Mwanza wote mnapakiwa humo mpaka CCP,hivyo Usafiri ni bure
Dah,kweli kazi ipo kwa kweli sijisumbui tena na mambo ya majeshi,nitafanya mambo yangu mengine
Tunakukubari sana bro unatupa mwanga sana sema mi najiuliza wale wajomba unaomba kuacha wanakubali au kinaumana hadi utorokeVijana mkachape kazi kwa Haki,mkiona mambo hayaendi acheni kazi kwa amani kama mimi Kaka yenu