Ujumbe wako uo👆👆Boe kuwa na mpangilio mzuri wa maneno utakosa msaada hivi hivi unajiona kwa kujibu watu kwa namna yako io,kwakuwa ina kashfa kwa namna flan...
Kama uyu braza mnaemjibu apa kwa wale tulikuwa tunakesha kwenye uzi ule wa "nafasi za ajira za polisi" uyu braza dystonia7 lazima ushakutana nae kwa namna moja ama nyingine...na lonja alizokuwa anatoa ni za ndani na ni reliable kabisa me nimeenda interview tatu za polisi na kila kitu alichosemaga uyu jamaa n vile vile from namna panel list inavyokaa...maswali yanavyokuwa na namna ya wewe kuact infront ya panel list...
Sasa we nyokaa unakuja unamwambia "acha kukurupuka" 😂
nashindwa kukuelewa kwa kweli
Wapi nimeweka mpangilio mbaya wa maneno mkuu??Boe kuwa na mpangilio mzuri wa maneno utakosa msaada hivi hivi unajiona kwa kujibu watu kwa namna yako io,kwakuwa ina kashfa kwa namna flan...
Kama uyu braza mnaemjibu apa kwa wale tulikuwa tunakesha kwenye uzi ule wa "nafasi za ajira za polisi" uyu braza dystonia7 lazima ushakutana nae kwa namna moja ama nyingine...na lonja alizokuwa anatoa ni za ndani na ni reliable kabisa me nimeenda interview tatu za polisi na kila kitu alichosemaga uyu jamaa n vile vile from namna panel list inavyokaa...maswali yanavyokuwa na namna ya wewe kuact infront ya panel list...
Sasa we nyokaa unakuja unamwambia "acha kukurupuka" 😂
nashindwa kukuelewa kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mishahara hiyo? Kuna kitu nimekiamini kuhusu taasisi ya police, nilikua nasikia tyuu, ila leo nimeaminii.
Sema kwenye posho ndo wanabaruzaa sanaa, woiiiiih
ona huu ujinga kwenye elimu 😥 hii nch🚮🚮Wakuu natumai tunasubir kwa hamu majina ya usahil hivyo basi mungu atusaidie tuweze kufanikiwa na usahili tupite na tukalitumikie taifa, kwa lonja nilionayo ni kwamba mchongo upo kweny process za ukamilishwaj na hivyo siku yoyote ukiwa tamat pdf itaachiliwa, idadi ya watu wanaohitajika ni 3500+ na ni hivi degree holder wanohitajika kwenda ccp hawatozid80, diploma hawatozid80 na certificate hawatozid80 ni hayo tu wakuu.
Ndo ivo mkuu, wenye elimu hawachukui weng sabab utaenda kua na cheo(officer) alaf haitawezekana ww kuingia lindo na then kutakua na uhaba wa askariona huu ujinga kwenye elimu 😥 hii nch🚮🚮
naona wamembizana kua “ngoja tutulie kimya kwanza hawa majobless waendelee kuungua na jua tuu huko mtaani”😂😂😂 😂Wakuu na jobless wote poleni na kazi na majukumu kwa ujumla. Vip hawa polisi za ndani mlio pata au kusikia ni lini wakaachia PDF
Hola holaWakuu habar gan humuu👋
Wakuu kuna lolote linalojiri ukoo?
mhmhPdf limeshatoka watu wamesha fanya interview
PDF limetoka lin na interview imefanywa lin mkuu embu tujuze?Pdf limeshatoka watu wamesha fanya interview
Watu wanakaribia kuanza kozi🤣🤣🤣PDF limetoka lin na interview imefanywa lin mkuu embu tujuze?
kwamba mzigo umepigwa kimyakimya na watu wameshalamba asali uko huku wengne tumetelekezwa tuendelee tu kuungua na jua 😂😂😂Watu wanakaribia kuanza kozi🤣🤣🤣
Walaaaniwe mkuu kama wana issue ixonaona wamembizana kua “ngoja tutulie kimya kwanza hawa majobless waendelee kuungua na jua tuu huko mtaani”😂😂😂 😂
Nyie ndio nduli idd amini dada alikuwa anawatafuta awakate mtakoPdf limeshatoka watu wamesha fanya interview
😁😁Walaaaniwe mkuu kama wana issue ixo
Usifike huko mkuu😂😂Nyie ndio nduli idd amini dada alikuwa anawatafuta awakate mtako