Tupeane ubora wa simu hizi

Tupeane ubora wa simu hizi

Fast Forward

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
575
Reaction score
768
Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na simu aina ya doogee, nikaona nije niulizie najua humu kuna watu aidha wameshazitumia au wameziona kwa jamaa zao
CHIEF MKWAWA mwl Rct
2018-11-26-16-47-10-1281016319.jpeg
2018-11-26-16-47-10-1281016319.jpeg
 

Attachments

  • 2018-11-26-16-46-20--1751036726.jpeg
    2018-11-26-16-46-20--1751036726.jpeg
    6.4 KB · Views: 56
Mkuu mimi msimamo wangu ni kwamba hakuna kipaji cha kutengeneza simu, kwamba kuna mtaalamu mmoja ndani ndani kajificha anatengeneza simu kali balaa kushinda kampuni kubwa zinazo invest matrilioni ya hela kwenye tafiti.

Simu nzuri inatoka kwenye kampuni zinazojulikana ambazo juhudi zao zipo wazi na tunaziona.

Hizo brand nyingi ndogo ndogo hawatengenezi simu bali wanaenda kwenye viwanda huko China na kutoa order ya simu na wao kupachika tu brand zaod hata wewe unaweza na kwa mtaji mdogo. Leo hii nenda tu Alibaba toa order ya kitu chochote piece 1000 watakupa na zawadi ya kurename hiko kitu kwa jina lako.

Kuelewa zaidi unatakiwa ujue tofauti ya ODM na OEM
What's the Difference Between OEM and ODM Products?

Hivyo simu kama hizo zinakuwa na
-Soc za mediatek sababu hazihitaji leseni kuzipata
-hakuna updates za kueleweka sababu mtengenezaji hana time akisha label simu yako.
-vifaa ambavyo ni low quality kuanzia display, touch, vitu vya ndani etc.

Kama budget ni ndogo wapo wachina ambao wanajulikana wanatoa simu nzuri kwa bei nafuu kina Honor, Xiaomi, Oppo, vivo, oneplus, etc
 
Back
Top Bottom