Tupeane taarifa za kibiashara kwenye maeneo tuliyopo

MWONA MBALI

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
440
1,000
Wadau,

Mimi nawaza badala ya kuwa tunajadili fursa mbali mbali tu kiujumla. Kwanini tusiwe tunaonyesha mfano mtu yupo Mbeya au Kahama anatujajia bei ya mchele pande hizo? Mtu ambaye yupo Singida atupe bei ya mafuta ya alizeti, mtu wa Arusha labda bei ya maharage, alie sokoni Tandale au Buguruni aseme ni zao lipi linahitajika.

Pia, kujua bei za bidhaa mbalimbali, hii itachochea sana kuongeza udadisi na kufanya michanganuo mingine kama usafiri na vibali.
 
Galbi

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
397
1,000
Ningependa kujua maeneo yenye Soko la Mafuta ya Mnyonyo (Castor Oil) na bei zake tafadhali.
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
29,437
2,000
Safi sana. Mimi naanza na Mahindi Mapya Kibaigwa.... 8-9k kwa debe

Mjomba leo amenipgia simu toka Lindi kuna mzigo alikia aupokee..akaniambia yaani unaleta dagaa badala ya mahindi??😄akasema watu wametajirika kwa biashara ya mahindi...anayatoa mvomero kwa shilingi 7..kule amesema kuna area debe ni 40000!

Ni kuhusu yale mafurikoo..bas unaambiwa mahindi ni "zahabu"
 
MWONA MBALI

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
440
1,000
Mjomba leo amenipgia simu toka Lindi kuna mzigo alikia aupokee..akaniambia yaani unaleta dagaa badala ya mahindi??😄akasema watu wametajirika kwa biashara ya mahindi...anayatoa mvomero kwa shilingi 7..kule amesema kuna area debe ni 40000!

Ni kuhusu yale mafurikoo..bas unaambiwa mahindi ni "zahabu"
HII IMEKAA VIZURI SANA MKUU
 
malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,049
2,000
Mjomba leo amenipgia simu toka Lindi kuna mzigo alikia aupokee..akaniambia yaani unaleta dagaa badala ya mahindi??akasema watu wametajirika kwa biashara ya mahindi...anayatoa mvomero kwa shilingi 7..kule amesema kuna area debe ni 40000!

Ni kuhusu yale mafurikoo..bas unaambiwa mahindi ni "zahabu"
mkuu hiyo habari nami nimeiskia ila nkapuuzia kumbe kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom