Mazwazwa ndo mtaji wa CCM(nukta)Najiuliza hili swali kila siku HIVI MTU MWENYE AKILI TIMAMU KABISA ANAIPIGIAJE KURA CCM?.
KUNAWAKATI HUWA NAHISI WATANZANIA TUMEROGWA.
TwafaaaaaaaMagufuli hatufai kabisa, jamaa katili linawaza visasi tu.
Kaongea mwenyewe kua maendeleo hayana chama. Basi tumeamua wote mwaka huu kiti cha urais atakalia Tundu Lissu mgombea wa chadema.
Hatafanikiwa. Wasimamizi hao wengi ni wale wahitimu wa vyuo waliokosa ajira tangu 2014.Kinachosikitisha lakini ni ukweli, NEC na CCM wamejipanga sana kudhurumu uchaguzi na Magufuli atatangazwa mshindi.
Najiuliza hili swali kila siku HIVI MTU MWENYE AKILI TIMAMU KABISA ANAIPIGIAJE KURA CCM?.
KUNAWAKATI HUWA NAHISI WATANZANIA TUMEROGWA.
Usha legeaKinachosikitisha lakini ni ukweli, NEC na CCM wamejipanga sana kudhurumu uchaguzi na Magufuli atatangazwa mshindi.
Kabisa ni wakati muafaka wa kuiweka ccm juu ya mawe.Enyi watia nia 7000 wa CCM mlionyimwa mishahara.
Enyi wagombea wa CCM mlioshinda kura za maoni na kutoteuliwa.
Enyi wafanyabiashara mliofirisiwa mitaji yenu kwa kodi za TRA.
Enyi watumishi mlionyimwa haki yenu ya nyongeza ya mshahara wa kila mwaka.
Enyi wakulima ambao mmekopwa mazao yenu na mazao yenu kupata bei hafifu.
Enyi wanavyuo mliokosa mikopo ya elimu ya juu.
Enyi watumishi wa umma na binafsi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ambao mmepandishiwa riba kutoka asilimia 3 baadae 8 na kufika 15.
Enyi mama ntilie, machinga, na wafanya biashara wadogo wadogo mliouziwa vitambulisho vya mjasiliamali kwa elfu 20.
Enyi ndugu za waathirika wa kesi za kubambikia na vifungo vya uonevu.
Enyi ndugu za waathirika wa utekaji, utesaji, na mauaji ya wasiojulikana.
Enyi watumishi mlioacha au kuachishwa kazi na mnaathirika na kuzuiwa kwa fao la kujitoa kwenye mifuko ya pensheni.
Enyi wastaafu watarajiwa kuanzia mwaka 2022 ambao mtakumbana na kikokotoo kandamizi cha mafao yenu ya kustaafu
Enyi watumishi wa umma mlioitwa "watumishi hewa na vyeti feki" mliofukuzwa kikatili.
Enyi maafisa, wakurugenzi, wakuu wa idara, makatibu wakuu, mawaziri na maafisa wengine wote, mlioathirika na tumbuatumbua na tenguatengua zisizo na haki.
Enyi watanzania wote mliopata madhara katika utawala wa miaka mitano ya serikali ya CCM ya Magufuli.
MIMI MWANA CCM NINAWAOMBA KWA UNYENYEKEVU MKUBWA:
Tumia dakika mbili kila siku, kwa siku zilizobaki kabla ya tarehe 28/10/2020, kuwapigia simu ndugu, jamaa, na marafiki wa mijini na vijijini kuwaelimisha jinsi ya kujinasua kwenye makucha ya CCM ya Magufuli, kwa kumpigia kura TUNDU LISSU, kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Watanzania mpoooooooo!
#Haki Huinua Taifa#
Mbuzi wameshatoa njiaEnyi watia nia 7000 wa CCM mlionyimwa mishahara.

Nasikia mbuzi ana alama kubwa sana katika ulimwengu wa rohoMbuzi wameshatoa njiaView attachment 1603838
Kabisa mkuuNasikia mbuzi ana alama kubwa sana katika ulimwengu wa roho