Tupeane habari za mvua

Kipindi Cha kilimo Cha watotoo..

Huku kwetu mpk saa hii 17:25 inamwagika haswaa..
 
Jua ni kali sana huku Chugastan
 
Hapa nilipo inanyesha mvua ya magoli, Yanga anamsulubu Mwarabu koko
 
Tupo hapa uwanja wa mkapa hali siyo mbaya uwanja umejaa maji wataalamu wetu wanajitahid kuukausha na tekinolojia ya kudeki wakati yanga wakisubiri kuminyana na us Monastir
 
Sukumaland shinyanha bado kukavu, hakuna mvua wala manyunyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…