Huishiwagi vituko mzeeKweli imetandika vilivyo, hata hivyo joto lilikuwa kali sana, tulishindwa hata kutimiza haki zetu za msingi as hatuna hata feni za kupepea.
Side effect yake ni miundombinu kubovuka, ila ni heri tu.
Hapo kwenye mbuzi umeharibu bora usingetamka mkuuππMke wangu anajifungua ndani ya juma hizi mbili. Ningekuw mliman ningekushtua uje ule mbuzi π
Nimeanza nini? Alafu unasema Arusha mvua zimenyesha alhamisi,nimemuuliza Depal kanipa majibu fofauti. Au wewe upo Arusha ya kibada?Umeanza
Inategemea.Nimeanza nini? Alafu unasema Arusha mvua zimenyesha alhamisi,nimemuuliza Depal kanipa majibu fofauti. Au wewe upo Arusha ya kibada?
Ukweli ni upi?acha uongo
Mbezi mafuriko
Inanyesha tangu asubui haijakatika
Hapa gambosh Hakuna mvua kabisa,ila mahindi yamestawi kweri kweri.
Haha π π€£ ndafu lazima wachinjwe nikipandaHapo kwenye mbuzi umeharibu bora usingetamka mkuuππ
Leo nami nimepata homeboy, nami natokea mkuu kanisaniNatokea mkuu
Dah wamekata umeme wakati na type
Safi kabisa kitambo sana sijasali hapo churchπ. Wanatuandama sana warombo hapa JF. Wanafikiri hatupo humu. .Leo nami nimepata homeboy, nami natokea mkuu kanisani
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
We unaweza kuwa jirani yanguMbezi mafuriko
Inanyesha tangu asubui haijakatika
Wasinda mwanandieumbeere na ng'ande au mtango, mtori kena
Sawa mkuu, pasaka huendi?Haha π π€£ ndafu lazima wachinjwe nikipanda
AfrikanaMbezi ipi
HujaniagaAfrikana
Toka saa saba ndio imeanza seriaz hadi saa 11 jioniKimara toka asbh mpaka mda huu ndo ina ishia ishia