Ulizia na Rombo mkuuManzese ndio imekata now as am typing. ...
Geita hakuna uwaba wa mvuaLeo Baada ya miezi 3 imenyesha mvua kubwa kiasi Huku pwani ya Tanga na Dar.
Kwenye maeneo yako vipi, neema hii imefika?
Ni muhimu maana bei za vyakula zinategemea mvua. Ikianza kunyesha na wakulima wakapanda bei zinatelemka maana watu wanatoa stock walizozificha.
Nikipiga simu home lazima nipigwe pesaUlizia na Rombo mkuu
Sahamani ndugu yangu.Geita hakuna uwaba wa mvua
Jana nilitarajia kuwa pale Mkuu nikashindwa lkn next week nitatinga panapo majaaliwaNikipiga simu home lazima nipigwe pesa
Safari hii ndizi hakuna kukavu kweli. Mji wenye mbege Pasaka utaonekana matajiri kweli kweli 🙂
Hopefully patanyesha. .
Natokea mkuuJana nilitarajia kuwa pale Mkuu nikashindwa lkn next week nitatinga panapo majaaliwa
Nakumbuka...unatokea Mkuu mlimani/pembeni ya msitu sio?Natokea mkuu
Dah wamekata umeme wakati na type
Umoja wa Wanaume Bahili (uwaba)Sahamani ndugu yangu.
Uwaba ni kitu gani?
Ukifika kiboro pale njia panda ya kwenda wilayan. Napandisha juu mpaka huko mpakani (karibu na shule ya msing mahaa) ndio nyumbani😀 sijala machalari, makafi na mbere kitambo unanitia wenge la kupanda😀😀Jana nilitarajia kuwa pale Mkuu nikashindwa lkn next week nitatinga panapo majaaliwa
Nipeleke huko milimani nikatembee mkuu wangu...kuna vilima na view nzuri sana huko.Ukifika kiboro pale njia panda ya kwenda wilayan. Napandisha juu mpaka huko mpakani (karibu na shule ya msing mahaa) ndio nyumbani😀 sijala machalari, makafi na mbere kitambo unanitia wenge la kupanda😀😀
UmeanzaHapa gambosh Hakuna mvua kabisa,ila mahindi yamestawi kweri kweri.
Mke wangu anajifungua ndani ya juma hizi mbili. Ningekuw mliman ningekushtua uje ule mbuzi 😀Nipeleke huko milimani nikatembee mkuu wangu...kuna vilima na view nzuri sana huko.
Mimi mpenda safari hasa porini na milimani