Tupeane challenges mlizokutana nazo kulea teenagers

Malezi , malez aisee nmeyaona mazingira ya uswahilini kwetu yanaathiri sana,mfano halisi nauona kwangu aisee yan hakuna anayejali kabisa kuhusu ww, ilmrad mzazi anakuona unakula tu bac hiyo inatosha ila kwa kweli kuna baadhi ya tabia za uswaz zmeniathir hadi leo hii na ni ngumu kuziacha aisee japokuwa nmepata faida nyingi za kuishi uswahilini but madhara nayo nayaona.......ila mi nafkiri bora mzazi uwe ni rafiki mzuri kwa mtt unakua naye karibu MTT atakueleza kila kitu na utajua unamhandle VP kuliko kumpiga lock za ajabu ajabu
 
Nilikutwa na mzee naongea na dem kwenye simu ya mezani,nilijua hayupo kumbe yupo hom,wakati naongea alikuwa nyuma yangu akisikiliza upuuzi wangu!..ile naweka simu chini kugeuka namuona hatua moja nyuma yangu akiniangalia,na kuniauliza siku hizi una mpenzi?...nikabaki nimetumbua macho tu.
Umenikumbusha nilikua na Dem wangu form three mtoto wa mshua kwenye jeshi la polisi nilikua namchukua tunakwenda sehemu kula ice cream na juice. Kumbe babake alishatambua. Sasa Kuna siku tumekaa sehemu tulivu tinashikana mikono, mabega na kuongea maneno matam matam kumbe babake kaja kasimama nyuma yetu anaangalia tunavyoshikana, kuitana waif na hezband na kula ice cream. Tumekaa kipindi muda tunaamka kila mtu arudi kwao ndio mzee wake akakohoa.
 
Baadavya tukio niljifunza kumfanya rafiki na kuwa nae karibu. Tukiongea mengi na ninashukuru akimaliza shule salama na ana ujuzi unaimuingizia kipato halali.
Kumbe ww Ni mtu mzima kiasi ! Una mtoto kashamaliza kusoma na ana kipato ! Shkamoo madam sky !
 
Nina wanne teenegers tupu age mates wako mafungu mawili wakiume wote patamu kweli . Nina msaidizi wa kazi wa kuja na kuondoka tena mara mbili kwa week. Wakifunga shule wao ndio wanaamka usafi , kuandaa breakfast yani nilikomaa malezi ya kizamani Zamani .
Wanasafisha banda la mbwa . Kuosha mbwa wamegawana wako mbwa wanne so kila mmoja na wake .

Wamefanikiwa kuwa na zamu inayoheshimiwa na wote japo wapo wawili wavivu walalamishi wategaji na wazembe ila wanaburuzana tu,
Ratiba yao ni lazima asubuhi wafanye mazoezi pia jioni lazima watoke nje ya geti kucheza mpira wa mchangani hadi saa moja so wamejua kujichanganya kiume huko nje pia . Niliogopa kuwafungia sana . Na hii ratiba ya mazoezi ni lazima labda awe mgonjwa 😂😂😂😂😂
Kuna siku nimesikia harufu ya sigara chumbani kwa mmoja . Nilimtenga chumba chake maana ni anakua haraka kuliko kawaida
Siku hiyo Akili ilisimama kwa muda . Nikajikusanya nikawaka kuliko kawaida sijui imesaidia au vipi sijasikia harufu tena but naomba Mungu wasiingie kwenye sigara mapema.
Ukiwafokea sometimes wanakubamizia milango kwa kweli anayebamiza milango kwa sasa hakuna maana nilianza kutoa adhabu za kuwanyoosha sasa milango imeanza kuwa salama kidogo 😂😂😂😂😂😂
 
Ratiba yao ni lazima asubuhi wafanye mazoezi pia jioni lazima watoke nje ya geti kucheza mpira wa mchangani hadi saa moja so wamejua kujichanganya kiume huko nje pia . Niliogopa kuwafungia sana . Na hii ratiba ya mazoezi ni lazima labda awe mgonjwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku nimesikia harufu ya sigara chumbani kwa mmoja . Nilimtenga chumba chake maana ni anakua haraka kuliko kawaida
Siku hiyo Akili ilisimama kwa muda . Nikajikusanya nikawaka kuliko kawaida sijui imesaidia au vipi sijasikia harufu tena but naomba Mungu wasiingie kwenye sigara mapema.
Ukiwafokea sometimes wanakubamizia milango kwa kweli anayebamiza milango kwa sasa hakuna maana nilianza kutoa adhabu za kuwanyoosha sasa milango imeanza kuwa salama kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wana umri gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina wanne teenegers tupu age mates wako mafungu mawili wakiume wote patamu kweli . Nina msaidizi wa kazi wa kuja na kuondoka tena mara mbili kwa week. Wakifunga shule wao ndio wanaamka usafi , kuandaa breakfast yani nilikomaa malezi ya kizamani Zamani .
Wanasafisha banda la mbwa . Kuosha mbwa wamegawana wako mbwa wanne so kila mmoja na wake .

Wamefanikiwa kuwa na zamu inayoheshimiwa na wote japo wapo wawili wavivu walalamishi wategaji na wazembe ila wanaburuzana tu,
Ratiba yao ni lazima asubuhi wafanye mazoezi pia jioni lazima watoke nje ya geti kucheza mpira wa mchangani hadi saa moja so wamejua kujichanganya kiume huko nje pia . Niliogopa kuwafungia sana . Na hii ratiba ya mazoezi ni lazima labda awe mgonjwa 😂😂😂😂😂
Kuna siku nimesikia harufu ya sigara chumbani kwa mmoja . Nilimtenga chumba chake maana ni anakua haraka kuliko kawaida
Siku hiyo Akili ilisimama kwa muda . Nikajikusanya nikawaka kuliko kawaida sijui imesaidia au vipi sijasikia harufu tena but naomba Mungu wasiingie kwenye sigara mapema.
Ukiwafokea sometimes wanakubamizia milango kwa kweli anayebamiza milango kwa sasa hakuna maana nilianza kutoa adhabu za kuwanyoosha sasa milango imeanza kuwa salama kidogo 😂😂😂😂😂😂
Jirani yangu alipata mtoto wa ujanani wakati yuko chuo. Mtoto alibaki kwa mama yake, yule kaka alimaliza shule na kupata kazi. Alikwenda na Ulaya kufanya Masters, aliporudi alioa na kuanza maisha.

Ghafla analetewa teenager wake mama anaolewa. Umri wa wa watoto wa ndoa na huyu wamepishana sana. Yule kaka aliacha kwenda bar, kila siku jioni alimpa kijana homework, alimfundisha kumwagilia nyanya na mchicha na alipewa kazi ya kuosha vyombo baada ya kula.

Yule kijana alipata division one form four, baba yake aliwekeza muda mwingi kwenye malezi na ililipa.
 
Kulea teenagers ni challenge kubwa, kipindi kile wachopitia hormonal changes, physical, psychological na social development. Hiki ni kipindi cha kujenga su kubomoa mustakabali mzima wa maisha yake.

Kutokana na experience ya kufanya kazi na vijana, story za marafiki na jamaa kuhusu watoto wao. Nilijenga utawala wa sheria nyumbani.

Sheria moja niliiweka kuwa, kuingia ndani ya nyumba mwisho ni saaw12.00 jioni. Baada ya hapo kama uko nje iwe ni kwa ruhusa. Sasa bwana sheria ni msumeno, unakata pande zote.

Ilibidi ile tabia ya kula nyama choma nikitoka kazini ife na mimi saa moja niwe nyumbani. Kasheshe kukiwa na vikao vya harusi au vya ndugu.

Jioni kusali kabla ya kulala, pombe ndani ya nyumba marufuku. Na mimi nikawa nikiwa na hamu ninapitia bar ninapata moja ya haraka niwahi nyumbani.

Pamoja na yote haya, siku nikiyoitwa shule dogo amekatwa anavuta bangi, niliishiwa pose.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jirani yangu alipata mtoto wa ujanani wakati yuko chuo. Mtoto alibaki kwa mama yake, yule kaka alimaliza shule na kupata kazi. Alikwenda na Ulaya kufanya Masters, aliporudi alioa na kuanza maisha.

Ghafla analetewa teenager wake mama anaolewa. Umri wa wa watoto wa ndoa na huyu wamepishana sana. Yule kaka aliacha kwenda bar, kila siku jioni alimpa kijana homework, alimfundisha kumwagilia nyanya na mchicha na alipewa kazi ya kuosha vyombo baada ya kula.

Yule kijana alipata division one form four, baba yake aliwekeza muda mwingi kwenye malezi na ililipa.
Oh jamani hongera kwake inawezekana pia na mama mzazi alijitahidi kunyoosha mtoto kwa kiasi chake baba akamalizia vizuri 👏🏾👏🏾👏🏾
 
Sky Eclat. usijali sana bangi mimi binafsi kusema kweli rafiki zangu wanavuta toka enzi tupo High school mpaka leo sijawahi kuwaona na tatizo lolote, ukweli ni kwamba vijana wengi wa O level mpaka chuo kikuu wanavuta sana bangi ila wazazi hawajui
NB
sijamaanisha bangi ni nzuri kwa mtoto
 
13-15-16-17 - hawa watatu yaani wa 15-16-17 ilibidi kubuni (guess ) umri wao kutokana na namna nilivyowapata . Ilibidi kuwagawia miaka maana sikuwa na namna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama kama Mama na madume wake wanne!
 
Back
Top Bottom