Tupeane challenges mlizokutana nazo kulea teenagers

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,639
Reaction score
220,411
Kulea teenagers ni challenge kubwa, kipindi kile wachopitia hormonal changes, physical, psychological na social development. Hiki ni kipindi cha kujenga su kubomoa mustakabali mzima wa maisha yake.

Kutokana na experience ya kufanya kazi na vijana, story za marafiki na jamaa kuhusu watoto wao. Nilijenga utawala wa sheria nyumbani.

Sheria moja niliiweka kuwa, kuingia ndani ya nyumba mwisho ni saa 12.00 jioni. Baada ya hapo kama uko nje iwe ni kwa ruhusa. Sasa bwana sheria ni msumeno, unakata pande zote.

Ilibidi ile tabia ya kula nyama choma nikitoka kazini ife na mimi saa moja niwe nyumbani. Kasheshe kukiwa na vikao vya harusi au vya ndugu.

Jioni kusali kabla ya kulala, pombe ndani ya nyumba marufuku. Na mimi nikawa nikiwa na hamu ninapitia bar ninapata moja ya haraka niwahi nyumbani.

Pamoja na yote haya, siku nikiyoitwa shule dogo amekamatwa anavuta bangi, niliishiwa pose.
 
Kulea teenagers ni challenge kubwa, kipindi kile wachopitia hormonal changes, physical, psychological na social development. Hiki ni kipindi cha kujenga su kubomoa mustakabali mzima wa maisha yake.
Kutokana na experience ya kufanya kazi na vijana, story za marafiki na jamaa kuhusu watoto wao. Nilijenga utawala wa sheria nyumbani.
Sheria moja niliiweka kuwa, kuingia ndani ya nyumba mwisho ni saaw12.00 jioni. Baada ya hapo kama uko nje iwe ni kwa ruhusa. Sasa bwana sheria ni msumeno, unakata pande zote.
Ilibidi ile tabia ya kula nyama choma nikitoka kazini ife na mimi saa moja niwe nyumbani. Kasheshe kukiwa na vikao vya harusi au vya ndugu.
Jioni kusali kabla ya kulala, pombe ndani ya nyumba marufuku. Na mimi nikawa nikiwa na hamu ninapitia bar ninapata moja ya haraka niwahi nyumbani.
Pamoja na yote haya, siku nikiyoitwa shule dogo amekatwa anavuta bangi, niliishiwa pose.
Huo ni ukoloni it's not fair
 
Fairness have to be earned, asome apate kazi kwake atakua na fairness life
Hapo ndo walezi mnakuja kuharibu sasa et mpaka amalize Kusoma apate kazi kwanza,huo muda wote wewe ni kuweka sheria tu ifatwe.
Badala ya kukaa kuongea nae ujue nini anataka,kipi kinamsumbua umpe ushauri hapana we zako sheria tu mwisho wa siku anaenda kupewa ushauri mbovu mahali ambapo si salama.
Let them live,just be a guardian watakusikiliza na watakwambia mambo mengi trust me.
 
Me nilidhani unazungumzia "kulea" kule mnakofanya wamama wenye hela zao.
Kumbe wazungumzia kulea familia yako madam!
Hiyo haina formula mama tusidanganyane, maana hutokana silka ya mtoto mwenyewe.

Waweza kuzaa kimburu kwenye familia ya paka ukashangaa sana.

Ndiyomaana nasema kupata mtoto ukamlea na akafuata maadili yako ni kubahatisha na ni kudra za Alah mwenyewe.
Embu tuongelee "kulea" buana. Watu wengi wanataka kulelewa na masharti kwao si hoja.
 
Hapo ndo walezi mnakuja kuharibu sasa et mpaka amalize Kusoma apate kazi kwanza,huo muda wote wewe ni kuweka sheria tu ifatwe.
Badala ya kukaa kuongea nae ujue nini anataka,kipi kinamsumbua umpe ushauri hapana we zako sheria tu mwisho wa siku anaenda kupewa ushauri mbovu mahali ambapo si salama.
Let them live,just be a guardian watakusikiliza na watakwambia mambo mengi trust me.
Baadavya tukio niljifunza kumfanya rafiki na kuwa nae karibu. Tukiongea mengi na ninashukuru akimaliza shule salama na ana ujuzi unaimuingizia kipato halali.
 
Kulea teenagers ni challenge kubwa, kipindi kile wachopitia hormonal changes, physical, psychological na social development. Hiki ni kipindi cha kujenga su kubomoa mustakabali mzima wa maisha yake.

Kutokana na experience ya kufanya kazi na vijana, story za marafiki na jamaa kuhusu watoto wao. Nilijenga utawala wa sheria nyumbani.

Sheria moja niliiweka kuwa, kuingia ndani ya nyumba mwisho ni saaw12.00 jioni. Baada ya hapo kama uko nje iwe ni kwa ruhusa. Sasa bwana sheria ni msumeno, unakata pande zote.

Ilibidi ile tabia ya kula nyama choma nikitoka kazini ife na mimi saa moja niwe nyumbani. Kasheshe kukiwa na vikao vya harusi au vya ndugu.

Jioni kusali kabla ya kulala, pombe ndani ya nyumba marufuku. Na mimi nikawa nikiwa na hamu ninapitia bar ninapata moja ya haraka niwahi nyumbani.

Pamoja na yote haya, siku nikiyoitwa shule dogo amekatwa anavuta bangi, niliishiwa pose.
Umri huo mzee alinizingua nikaondoka home nikaenda kupiga kibarua kwa mtu hadi babu yangu aliponifuata kwa upendo mkubwa na kuninunulia uniform ambayo ilikuwa chanzo cha ugomvi na mzee wangu (unoform yangu -shati-lilikuwa na tobo lakini mzee wangu akataka niende nalo shule hivyo hivyo)
Umri huu ndio ushujaa huonekana
 
Sijafika umri huo wakulea teenager ! But huenda mzee wangu angejua niliyokuwa nafanya when i was teenager angepata presha!!
Nilikutwa na mzee naongea na dem kwenye simu ya mezani,nilijua hayupo kumbe yupo hom,wakati naongea alikuwa nyuma yangu akisikiliza upuuzi wangu!..ile naweka simu chini kugeuka namuona hatua moja nyuma yangu akiniangalia,na kuniauliza siku hizi una mpenzi?...nikabaki nimetumbua macho tu.
 
Nili smok,pombe,videm kupiga mtungo,kula kuberi,olevel na advanc skul nilikuwa napigwa spaa ndefu but home wala walikuwa hawajui, marafiki karibia wote sikumaliza nao shule coz walifukuzwa, kilichoniokoa kutofukuzwa shule ni AKILI BINAFSI NA KWELI siku waangusha! Wazazi wasinge amini yakuambiwa coz usoni nilionekana mwema sana.
Namshukuru Mungu kama sikuharibikiwa kipindi kile sitaharibikiwa tena!!
Teenager nikipindi cha mpito either kupita salama or kuharibikiwa mazima,
Wazazi wawekaribu sana na watoto wao kipindi cha teenager
Usimwamini wala kumwonea aibu mwanao!!
 
Wazazi huwa mnakosea kuweka Sheria kali kwa watoto kipindi cha uteneger.Huwa zinawaathiri Sana watoto ila hamjui tu.Kuna rafiki yangu nilisoma nae chuo nilikuwa nakaa nae room alikuwa hajui kucheza karata,draft,mpira na alikuwa hana rafiki zaidi ya sisi tuliokuwa tunakaa nae room.

Nikamuuliza yeye kakulia wapi, akadai mama yake alikuwa mkali balaa.Mama yake alikuwa hamruhusu hata kutoka nje ya nyumba bila sababu.Yaani jamaa alikuwa hawezi kabisa kufanya socialization.Anaweza akashinda njaa kisa anaogopa kuazima hata buku akale.Jamaa hata kufukuzia videmu alikuwa hawezi, alikuwa anawaogopa mademu kama kituo cha polisi.Hii ilimuathiri sana na inawezekana ilipoteza vipaji vyake huenda angeenda hata Egypt na CCM stars.

Ila mimi kipindi cha uteneger nilisumbua sana.Vitu vyote vya mionzi nilitumia.Bangi zote nimevuta,hakuna pombe ambayo sijawahi kunywa,mirungi,shisha,Club zote nimeenda,matusi yote nimetukana,chupa nimepiga na kupigwa sana, nilivuta mpaka petrol [emoji1787]na uchafu wote.Kasoro mademu sio sana na unga tu.
 
Fairness have to be earned, asome apate kazi kwake atakua na fairness life

Una ukoloni kama wa mzee wangu

Baba angu mzazi sahivi ndio namuelewa mchaga yule, alikua na hiyo kauli mpaka sasa narudi home kama kuku huwezi kunikuta naranda randa mjini saa 1usiku nipo home ndani.
 
Back
Top Bottom