Tupate Rais atakae endeleza ile sera ya Magu ya Tanzania ya viwanda angalu ilikuwa na mwangaza

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
402
Reaction score
844
Ili nchi ipige hatua viwanda ni muhimu sana, viwanda vinapunguza tatizo la ajira! Magu kidogo alitaka kuanzisha safari flani hivi ila ikaishia njiani... Tunataka ajae aje andeleze pale alipoacha Magu
 
Ile nayo ilikuwa ujinga mtupu; viwanda havijengwi kwa maneno na katikati ya vurugu za kisiasa za Magufuli wakati ule; pesa haipendi kelele ndo maana bank huwezi hata kupiga ama kupokea simu
 
Back
Top Bottom