Tupanue maarifa kuhusu Satellite

Tupanue maarifa kuhusu Satellite

Nini tofauti ya kimatumizi kati ya satelite za watu na ya mwezi ukitoa unatural na artificial?
 
Satellite zipo za aina nyingi sana nyingi zipo kwa ajili ya mawasiliano Yani Radio na zinaingiliana kama utapata Frequency za hio satellite unayotaka kila satellite ina transmitter and receiver na viko operated katika frequency fulani..Radar pia inakuwa ndani ya satellite Yenyewe itatuma military information hata hizi Dishes za saivi zinapokea mawimbi kupitia satellite Na ndio mana ww unq turn station fulani hata mambo ya Global positioning system Gps ni Sattelite izo

Nilimaanisha radar hizi kupachikwa chini na sio zilizobeaatached ndan
 
Kuna approximately 2,271 spacecrafts(satellites) in orbit. Russia inamiliki karibu 1300 na USA 600+ huku zingine zikimilikiwa na nchi zingine. Zaidi ya nchi 40 zina spacecrafts in space currently. Lakini ni nchi 10 tu zenye uwezo fully wa kurusha na ku-operate satellites angani hivyo zingine hutumia msaada wao.

Satellite hukaa kwenye orbit umbali wa 20,000km to 36,000km juu ya uso wa dunia.

Sio satellites zote zinafanya Kazi kuna zingine zimeshakufa hivyo hazitumiki tena hizi huitwa space debris ukizingatia satellite ya kwanza ilirushwa na Russia mwaka 1957.

Wadau wengine wameeleza definitions na matumizi ya satellites. You're welcome
 
Nini tofauti ya kimatumizi kati ya satelite za watu na ya mwezi ukitoa unatural na artificial?

Mkuu one definition of the word satellite is a body that orbits a larger body. Hapo ndio mwezi unaingia. Hata kiatu kikikaa na kuzunzguka dunia kitaitwa satellite. Matumizi ya spacecrafts(satellites) ambazo Ni manmade wadau wametaja juu pitia comments
 
Je satellite huundwa na nini?
 
Back
Top Bottom