Tupac Shakur akiwa na Janet Jackson

Tupac Shakur akiwa na Janet Jackson

hivi silaha za zaman hazikuwa hatar sana au.maana nimekuwa naskia wana hip-hop weng wa marekan walikuw wanatandikwa risasi wenyew kwa wenyew ila kifo mara chache sana.nimekuwa nasikua kina 50cent kupigwa risasi,2pac kabla ya stuation ya mwisho kuuliwa nasikia huko nyuma waliwah kummimina risasi na hakufa,huku bongo risas moja tu inakuondoa dunian.

naomba kueleweshwa hapa
Tundu Lisu amepigwa risasi 32 na bunduki ya kivita, siyo pistol.
 
Back
Top Bottom