Tuonyeshe tofauti mbili kwenye picha hii

Tuonyeshe tofauti mbili kwenye picha hii

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,385
Reaction score
68,490
CdeMldoW4AECOVw.jpg
 
Mstari wa kwanza kushoto mtu wa kwa nza kabisa ambaye inaonekana sehemu ya kofia tuu kavaa crown tofauti na wenzie, na ya pili ni huyo aliepiga mwayo
Uko vizuri sana mkuu
 
Swali lako haliko clear tunatofautisha nini? Kwa kutaja kila tofauti inayoonekana unaweza kupewa tofauti zaidi ya kumi.
 
Back
Top Bottom