Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

Sangamwalogesha

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2025
Posts
2,144
Reaction score
1,300
Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega mwezi Februari aliahidi barabara ya Tengeru-Momella ujenzi ungeanza mwezi March, tuko Septemba hakuna ht dalili. Miradi mingi imesimama hakuna maelezo. Kuna mradi mdogo tu wa Km 25 kutoka Mbulu-Garbabi wa tangia mwaka 2022 mkandarasi ameshakimbia, bila aibu Wasira yuko Mbulu kuwalaghai wambulu waipigie kura CCM. Inaonekana wataipigia. Makame Mbarawa alimlaghai mzanzibari mwenzake Samia kwamba wangejenga barabara za lami 8 kwa utaratibu wa EPC for Finance, mikataba ilisainiwa tarehe 16 June 2023, ni aibu na fedheha ule ulikuwa utapeli wa Mbarawa. Mbarawa ilikuwa wa kumfukuza on the spot, kuwa mpemba kunamfanya aendelee na uwaziri, na alivyo na arrogance siku hizi kazi yake ni kuweka na kuzindua miradi. Nani amemsikia akijihusisha na changamoto yyte ya uchukuzi nchi hii? Mpemba kimsingi ni mbaguzi, mtu mbinafsi hastahili kabisa kuwa waziri ktk serikali ya muungano. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20. Sizungumzii tu waislam hata watu km Jenista Mhagama, Adolf Mkenda, Innocent Bashungwa hakuna kitu pale. Waziri awe mtu km Dorothy Gwajima, Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi? Kimsingi Samia kuna genge linamwendesha kwa maslahi yake
 
Wizara ya ujenzi ndio moja ya wizara yenye pesa nyingi kwa yeyote atakayeteuliwa kuwa waziri.

Ilihitaji mtu awe na taaluma ya engineering na wasomi wapo lakini sio wanasiasa wetu wenye elimu ya hapa na pale au Masters za Esami.

Naunga mkono hoja inabidi waziri atoke vyuoni kama Must. Udsm au.DIT.
Mbarawa alipokuwa mwalimu alifanya vizuri tuu mpaka kupata kazi botswana lakini alipotua kwenye wizara umeme ukakata kichwani hafai na Ulega pia apewe kama michezo hivi simba na.yanga
 
Kazi kweli kweli...
 
Ewe mpuuzi unakosoa teuzi za mheshimiwa kama nani? Haujui kwamba wateuliwa wamepitia vetting na kujiridhisha kuwa wanafaa?
 
Povu ,kinachojenga Barabara sio mawaziri Bali pesa.

Laumu Samia na Mwigulu watoe pesa.
 
Huwa simuelewi kabisa huyo
 
. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20.
Watachukua majImbo chauma na ACT 😀
 
Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega mwezi Februari aliahidi barabara ya Tengeru-Momella ujenzi ungeanza mwezi March, tuko Septemba hakuna ht dalili. Miradi mingi imesimama hakuna maelezo. Kuna mradi mdogo tu wa Km 25 kutoka Mbulu-Garbabi wa tangia mwaka 2022 mkandarasi ameshakimbia, bila aibu Wasira yuko Mbulu kuwalaghai wambulu waipigie kura CCM. Inaonekana wataipigia. Makame Mbarawa alimlaghai mzanzibari mwenzake Samia kwamba wangejenga barabara za lami 8 kwa utaratibu wa EPC for Finance, mikataba ilisainiwa tarehe 16 June 2023, ni aibu na fedheha ule ulikuwa utapeli wa Mbarawa. Mbarawa ilikuwa wa kumfukuza on the spot, kuwa mpemba kunamfanya aendelee na uwaziri, na alivyo na arrogance siku hizi kazi yake ni kuweka na kuzindua miradi. Nani amemsikia akijihusisha na changamoto yyte ya uchukuzi nchi hii? Mpemba kimsingi ni mbaguzi, mtu mbinafsi hastahili kabisa kuwa waziri ktk serikali ya muungano. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20. Sizungumzii tu waislam hata watu km Jenista Mhagama, Adolf Mkenda, Innocent Bashungwa hakuna kitu pale. Waziri awe mtu km Dorothy Gwajima, Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi? Kimsingi Samia kuna genge linamwendesha kwa maslahi yake
Ummy kachukuwa ardhi ya nani?
 
Wizara ya ujenzi ndio moja ya wizara yenye pesa nyingi kwa yeyote atakayeteuliwa kuwa waziri.

Ilihitaji mtu awe na taaluma ya engineering na wasomi wapo lakini sio wanasiasa wetu wenye elimu ya hapa na pale au Masters za Esami.

Naunga mkono hoja inabidi waziri atoke vyuoni kama Must. Udsm au.DIT.
Mbarawa alipokuwa mwalimu alifanya vizuri tuu mpaka kupata kazi botswana lakini alipotua kwenye wizara umeme ukakata kichwani hafai na Ulega pia apewe kama michezo hivi simba na.yanga
Masters za esami zina shuda gani mkuu
 
Back
Top Bottom