Raisi wa wanyonge sasa amewageuka na anasema na bado fweza zitaendelea kuwakaukia mifukoni hadi mkose hata ya mlo mmoja,dawa nazo mahosptalini hamna huku mkizugwa wazee,watoto matibabu bure.,Ngoma inogile 'hata ukinunua dawa ukameza huku msosi huna tayari ni sumu'.,ama kweli titakufa paka tiishe wote.
Si utani timepatikana.........
View attachment 427976