mm1
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 569
- 170
Habarini wana JF,
Hali ya mvua Mwaka huu ni tete sana % kubwa ya maeneo yanayotegemea mvua za vuli haijanyesha msimu huu. Nafikiri kuna kla sababu ya kujitafakari na kuomba toba mbele za Mungu aliye hai kwa machukizo tuliyoyatenda Mwaka huu.
Viongozi wa dini na serikali nashangaa wako kimya tu wakati njaa mikoani tayari imeanza kuliza watu. HUWEZI KUHAMASISHA WATU WAFANYE KAZI VIJIJINI HAKUNA HATA TONE LA MVUA SIJUI HII NCHI IMEKUMBWA NA NINI. Heyiiiiiii jamani tuombeni toba Mungu aifutilie mbali hii hali.