Tunu Pinda

Status
Not open for further replies.

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Mama Tunu Mizengo Peter Pinda, mtoto wa Mkulima, hana makeke ...sijamwaona muda mrefu hewani, leo namwona akiwa hewani TBC - 1 kuomba msaada wa kuicahngia CHANETA.

Kazi ya Mke wa Waziri Mkuu kumbe si kubwa sana kuliko ya First Lady..(First Lady leo anaonekana akizingua chama cha wanawake wa Kiislamu pale "Islamic Uni ya Moro Tanesco"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom