Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Smile and Silence
With a smile, a woman solves many problems
With silence, a woman avoids many problems
Ni bahati mbaya unakuta kuna baadhi ya wanawake ama kwa kuumbwa au kulelewa/kujifunza wamekuwa wabishi, wagomvi, wanaojifanya wajuaji. Wanawake wa hivi mahusiano kati yao na waume au wapenzi wao na jamii kwa ujumla yanakuwa na matatizo ya hapa na pale. Mwanamke unatakiwa uwe msikilizaji zaidi, na inapobidi kujibu, jibu kwa maneno machache ya upole na onyesha msimamo wako huku ukitabasamu. Kama unayemweleza hajakuelewa, just stay silent huku ukiwa na msimamo wako in the silence. Hizo ndio tunu kuu mbili za mwanamke aliyekamilika... Nimesema kuhusu wanawake kwa sababu kwa wanaume hili sio tatizo, na tunu zao ni kuu ni tofauti...