Tunu mbili kuu za mahusiano kwa wanawake...


Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Likes
435
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 435 180
Smile and Silence
With a smile, a woman solves many problems
With silence, a woman avoids many problems

Ni bahati mbaya unakuta kuna baadhi ya wanawake ama kwa kuumbwa au kulelewa/kujifunza wamekuwa wabishi, wagomvi, wanaojifanya wajuaji. Wanawake wa hivi mahusiano kati yao na waume au wapenzi wao na jamii kwa ujumla yanakuwa na matatizo ya hapa na pale. Mwanamke unatakiwa uwe msikilizaji zaidi, na inapobidi kujibu, jibu kwa maneno machache ya upole na onyesha msimamo wako huku ukitabasamu. Kama unayemweleza hajakuelewa, just stay silent huku ukiwa na msimamo wako in the silence. Hizo ndio tunu kuu mbili za mwanamke aliyekamilika... Nimesema kuhusu wanawake kwa sababu kwa wanaume hili sio tatizo, na tunu zao ni kuu ni tofauti...
 
Munkari

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Messages
8,102
Likes
564
Points
280
Munkari

Munkari

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2013
8,102 564 280
Duu! Sa mi nilivyombishi hvi c ntaachwa cku ya kwanza tu ya hanimuni mwee!
 
Joharia

Joharia

Senior Member
Joined
May 24, 2013
Messages
194
Likes
2
Points
35
Joharia

Joharia

Senior Member
Joined May 24, 2013
194 2 35
Duu! Sa mi nilivyombishi hvi c ntaachwa cku ya kwanza tu ya hanimuni mwee!
Tehe! tehe! tehe! ndio ujifunze kukaa kimya na kutabasamu muda wote! hata ukitiwa kidole jichoni tabasamu akikuletea mke au mtt wa nje kaa kimya!
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,330
Likes
40,116
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,330 40,116 280
kwa kuyasoma yanawezekana ila kuyatenda mmmmh......
yani nisingiziwe nismile tuuu, nikae kimya tuuu akuuuuuuuu!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,275,212
Members 490,932
Posts 30,535,930