TunnelGuru kwa kutumia modem ya ZANTEL

TunnelGuru kwa kutumia modem ya ZANTEL

josephangetile

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
101
Reaction score
20
msaada wakuu mimi natumia modem ya CDMA na ninahitaji kutumia TunnelGuru na hii modem yangu, tafadhal anayeweza naomba anisaidie jinsi ya kuiconfigure(kuiseti) ili niweze kuitumia kwa sababu nimependa huduma zao na naitaji kuanza kuitumia. natanguliza shukrani zangu za dhati kwa atayenisaidia!!!
 
msaada wakuu mimi natumia modemya zantel na ninahitaji kutumia TunnelGuru na hii modem yangu, tafadhal anayeweza naomba anisaidie jinsi ya kuiconfigure(kuiseti) ili niweze kuitumia kwa sababu nimependa huduma zao na naitaji kuanza kuitumia. natanguliza shukrani zangu za dhati kwa atayenisaidia!!!

Sijui unawajua RESELLERS wa TunnelGURU?
Je thread zao unazijua?na umewai kuzisoma?

Labda ambacho haujui ni kuwa hivi sio halali kabisa sasa mm nashangaa unaweka mambo wazi au we ni wakala wa ZANTEL nn umetumwa ili muone ile PUNCTURE iliyotokea enzi nzile kuona kama tuhai-FIX
Anyway ngoja wenye kutaka kukusaiidia waaje kukusaidia

But umekosea kabisa kutaja MTANDAO narudia tena umekosea kutaja MTANDAO

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-stable-vpn-na-bei-imepunguzwa-elfu-8-tu.html
 
sijui unawajua resellers wa tunnelguru?
Je thread zao unazijua?na umewai kuzisoma?

Labda ambacho haujui ni kuwa hivi sio halali kabisa sasa mm nashangaa unaweka mambo wazi au we ni wakala wa zantel nn umetumwa ili muone ile puncture iliyotokea enzi nzile kuona kama tuhai-fix
anyway ngoja wenye kutaka kukusaiidia waaje kukusaidia

but umekosea kabisa kutaja mtandao narudia tena umekosea kutaja mtandao

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-stable-vpn-na-bei-imepunguzwa-elfu-8-tu.html

poa bro nimekupata but sijamaanisha hivyo na sina maana mimi ni wakala wa huo mtandao nimakosa madogomadogo tu, xory for dat.
 
Kutumia vpn, proxy or any other software sio kosa kisheria, so long hajasema kuwa anataka kutumia hizo ili ku bypass service subscription

Kimsingi hizo apps hazikutengenezwa kwa ajili ya kuwabia ISP's, ila hayo inakua matokeo ya udhaifu wa network access control zao wenyewe na ni jukumu lao kuziba hizo loopholes. Mteja hahusiki na chochote



Sijui unawajua RESELLERS wa TunnelGURU?
Je thread zao unazijua?na umewai kuzisoma?

Labda ambacho haujui ni kuwa hivi sio halali kabisa sasa mm nashangaa unaweka mambo wazi au we ni wakala wa ZANTEL nn umetumwa ili muone ile PUNCTURE iliyotokea enzi nzile kuona kama tuhai-FIX
Anyway ngoja wenye kutaka kukusaiidia waaje kukusaidia

But umekosea kabisa kutaja MTANDAO narudia tena umekosea kutaja MTANDAO

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-stable-vpn-na-bei-imepunguzwa-elfu-8-tu.html
 
nawashukuru wote wliotoa michango yao, japo wengine walikuwa na mitazamo negative na wengine positive, ila nimeshapata msaada baada ya member mmoja kuni PM na kunipa maelekezo yote, na nawewe kama unayataka unaweza kuingia kwenye hii blog:-http://mwlrct.blogspot.com/ .
namshukuru sana brother kaka kwa msaada wake.
 
Back
Top Bottom