Tunnel tunneling now

Tunnel tunneling now

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10. hata moja.tu.
Ni PM nikofoadie codes if you are in need of..
*****viva**********
 
its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10 hata moja.tu

Sasa hapa kuna mtu atavutika kweli na hiyo habari nusu nusu...
Hii ni nn asa?
Tunnel Tunneling?

Ni proxy servers au ni nn?
au ni VPN?

Ina features gani?

karibu
 
kipi hakija eleweke hapo????@njunwa the IT
 
its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10. hata moja.tu.
Ni PM nikofoadie codes if you are in need of..
*****viva**********
.
Nilijua wataibuka watu kama wewe eti Authetication code upuuzi mtupu!! Nyie ndo mnafanya maisha yawe magumu kwa ujinga wenu, kama una trik kamua kivyako KRAPKA DAVINOOOO
 
Mimi sioni kilichoharibika coz jamaa ameishasema tumpandie PM sasa tatizo liko wapi mjomba? Mambo ya kuvunjana moyo hayafai yakhe... Kama wewe umezoea kula kichoyo waachie wenzio washare DAVINOO zako mxy@@z
 
Tatizo mtu mwenye analeta habari nusu nusu
umeelewa nn kuhusu "tunnel Tunneling?
au umeelewa nn kuhusu Authetication codes?

Anyways Kula kimya kimya ndo dili siku hizi emu angalia Hii Injection Tool inavyowabamiza Hewatel mpaka 2MB/sec maana wana speed ya kuzuga mpaka 42Mbps
Nawaombea wafanye roll out mji mzima wasiwe kama Tigo waliobagua maeneo

g7w3.png
 
nadhani hapa hatushindani kupashana....unaposema trick imetangazwa ni trick ipi??maana watu sijui ndo mshajiita ma CEO wa tunnelguru na pd kuliko hta hao.wamiliki kabixa...
ebu tuache ufumbudu si kila anayetumia tg anataka aitumie bila kifurush.wengi wetu tunatia kifurush then tuna tunnel kwa any dedicatef server...
tuwe waelewa na tuache kujiona sie ndo wakamilifu..
najua suala hapo sio maneno ya tunneling wala nin mi najua hicho ki.6000/ndo kinasababisha hayayote..mi nonachoshaur em acheni mambo ya kizaman...hata ISPs wazibe kuna watu wataendelea tumia hzo pd na tg wakiwa na vifurish vyao..
ukiona nafaid saaaana bas ma we shusha chin ya hapo ama nin...
 
Hiyo itakuwa kwetu Manzese maana wafukuza upepeo ni kawaida hiyo 24/7 mida mida inapanda hadi 2.2MB/s hadi raha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
duh! minapita tuu kwa sasa ila tuendelee kuelimishana
 
.
Nilijua wataibuka watu kama wewe eti Authetication code upuuzi mtupu!! Nyie ndo mnafanya maisha yawe magumu kwa ujinga wenu, kama una trik kamua kivyako

Acha uchawi !

Akamue kivyake kivipi kama anataka pesa ?

Akamue kivyake kivipi wakati nyie mnaojifanya mnakamua kivyenu mnakujaga hapa kulalamika !

Mbona wengine tunakamua na tupo kimya tu !

Ila nyie mkaja mpaka hapa kumsema mwenzenu Mwl.RCT !

Kwanini msingelalamikiana kimya kimya ? Mpaka mumseme mwenzenu hazarani bila hata Roho zakiume ! Kumsitili mwenzenu !

Acheni wengine wenye tricks wale pesa ! Ila sio kuwasema kijinga kijinga !

Permittive level has been reached the peak !
Others we still watching over you ! Though we still shitting thee feelings !

OVER

:closed_2:​

snipa
 
Last edited by a moderator:
nadhani hapa hatushindani kupashana....unaposema trick imetangazwa ni trick ipi??maana watu sijui ndo mshajiita ma CEO wa tunnelguru na pd kuliko hta hao.wamiliki kabixa...
ebu tuache ufumbudu si kila anayetumia tg anataka aitumie bila kifurush.wengi wetu tunatia kifurush then tuna tunnel kwa any dedicatef server...
tuwe waelewa na tuache kujiona sie ndo wakamilifu..
najua suala hapo sio maneno ya tunneling wala nin mi najua hicho ki.6000/ndo kinasababisha hayayote..mi nonachoshaur em acheni mambo ya kizaman...hata ISPs wazibe kuna watu wataendelea tumia hzo pd na tg wakiwa na vifurish vyao..
ukiona nafaid saaaana bas ma we shusha chin ya hapo ama nin...

Tatizo kaka umeleta habari nusu nusu mpaka hatuelewi kitu unafikiri nani hapendi Tunneling tool...

Kama unauza Proxy servers sema mwenyewe nazitaka nimeichoka TunnelGuru na ma TG number yake ambayo ukibadili window inakula kwako na ukija kuangalia watu wenye reliable proxy ni TG zenye port 80 ....

Twambie sasa ni proxy servers au ni VPN server tujue mm mdau utaona nakuja PM
 
Acha uchawi !

Akamue kivyake kivipi kama anataka pesa ?

Akamue kivyake kivipi wakati nyie mnaojifanya mnakamua kivyenu mnakujaga hapa kulalamika !

Mbona wengine tunakamua na tupo kimya tu !

Ila nyie mkaja mpaka hapa kumsema mwenzenu Mwl.RCT !

Kwanini msingelalamikiana kimya kimya ? Mpaka mumseme mwenzenu hazarani bila hata Roho zakiume ! Kumsitili mwenzenu !

Acheni wengine wenye tricks wale pesa ! Ila sio kuwasema kijinga kijinga !

Permittive level has been reached the peak !
Others we still watching over you ! Though we still shitting thee feelings !

OVER

:closed_2:​

snipa

Mbona imesaidia humu JF internet haiuzwi kishamba inauzwa kiutu uzima unlike before tulivokua tunafanya....

Hapo kwenye red umetisha,unakamua upo kimya afu unasema bado
 
Last edited by a moderator:
Hiyo itakuwa kwetu Manzese maana wafukuza upepeo ni kawaida hiyo 24/7 mida mida inapanda hadi 2.2MB/s hadi raha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Daah!Mm jana nimejitaidi imepanda 1.7MB/sec nikasema nafunga ndoa na Airtel na kuna code mpya kama inasaidia lile janga kuisha....
Mafichoni kama kawa
 
Kwa yeyote mwenye Proxy za kuuza ambazo zina Authenticate naomba bei nimeichoka TG number update kila mara
 
Mbona imesaidia humu JF internet haiuzwi kishamba inauzwa kiutu uzima unlike before tulivokua tunafanya....

Hapo kwenye red umetisha,unakamua upo kimya afu unasema bado

Ume elewa vizuri hoja yangu hapo juu ?
 
Tatizo mtu mwenye analeta habari nusu nusu
umeelewa nn kuhusu "tunnel Tunneling?
au umeelewa nn kuhusu Authetication codes?

Anyways Kula kimya kimya ndo dili siku hizi emu angalia Hii Injection Tool inavyowabamiza Hewatel mpaka 2MB/sec maana wana speed ya kuzuga mpaka 42Mbps
Nawaombea wafanye roll out mji mzima wasiwe kama Tigo waliobagua maeneo

g7w3.png

NakuPM
 
Wakuu.suala ni kwamba fursa ikiyopo itumike bila ya kufumbuliwa haraka..nimeleta uzi nadhani unajieleza tu vizur..sijatoa ni bas gan na mbinu gan wadau washa overlook..na kishtum..mimi.nimetoa kijiprice changu ya 6000 tu kwa mwez..suala ni kupitia ukasoma ukiona kinakufaa una ni PM mzigo unasukumiwa.kma unayo unauchuna....sa sion haja ya kurushiana lawama
 
Back
Top Bottom