Tunnel tunneling now

Tunnel tunneling now

Wakuu.suala ni kwamba fursa ikiyopo itumike bila ya kufumbuliwa haraka..nimeleta uzi nadhani unajieleza tu vizur..sijatoa ni bas gan na mbinu gan wadau washa overlook..na kishtum..mimi.nimetoa kijiprice changu ya 6000 tu kwa mwez..suala ni kupitia ukasoma ukiona kinakufaa una ni PM mzigo unasukumiwa.kma unayo unauchuna... .sa sion haja ya kurushiana lawama


Hoja sio kutupiana lawama ! Nikuliweka wazi hili tatizo la watu kujiona kama wao wanauchungu sana !

Na nyie members wapya ! Kuwaona kama ni a point of last toe ! Na kama ulivyoambiwa hapo juu kwamba unachokifanya ni upuuzi mtupu !

Unaambiwa wewe hivyo akati both of them ni full of shit copy and paste ! And looks real pathetic ! To a someone with clear mind !

We kula tu pesa yako kama kuna wenye uhitaji huo wataku PM ! Japokuwa wapo na wanafiki pia ! Watakaokufuata !
 
Wakuu.suala ni kwamba fursa ikiyopo itumike bila ya kufumbuliwa haraka..nimeleta uzi nadhani unajieleza tu vizur..sijatoa ni bas gan na mbinu gan wadau washa overlook..na kishtum..mimi.nimetoa kijiprice changu ya 6000 tu kwa mwez..suala ni kupitia ukasoma ukiona kinakufaa una ni PM mzigo unasukumiwa.kma unayo unauchuna....sa sion haja ya kurushiana lawama

Kitu ambacho inabidi uelewe ni kwamba hapa sio wote wanaweza kulipia Vifurushi vya bila kikomo ambavyo vinapimwa kwa kibaba....

Sasa kuna trick ambazo kuzi-block ni dakika sifuri kama mambo ya Free sites ni dakika sufuri tu wanaachisha hizo sites au wanazibadili mode of action sasa TG yenyewe inatumia POST protocol pekee wakati HTTP/1.1 na HTTP/1.0 Ziko protocol nyingi sana e.gPATCH,GET,HEAD,DELETE,OPTIONS e.t.c

Hivo watu hapa wana-protect trick tegemezi iendelee ku-survive...

Kipindi cha nyuma nimepokea PM zaidi ya 7 zina theme moja "Bro can u stop selling that Internet in public"
Nikaona kweli hali mbaya sana watu hatuna tena strong Trick kama za UDP ports enzi zile nikaamua ku-mute ndo maana hata siku hizi haunioni nikiuza haya makitu Directly bali indirectly kiasi kwamba exposure ni ndogo sana
 
mkuu naomba unipm wewe ili niweze kureply then tupige biznes
 
Wengine sio wataalamu wa IT hivi ni vitu gani tuelewesheni vizuri

Kwa hapa bongo asilimia kubwa ya watu Tunneling tools tunazitumia kwa ajili ya Unlimited Internet na ku-bypass Speed caps unlike nchi nyingine ambako tunneling tools wanazimua kama Anti-censorship tools
 
Sasa tunasaidianaje jamani

Kwa kuanzia ili slowly uwe used to... kuna mitandao mingi wanakupa Bundle la unlimited browsing afu wanakubana speed ya kudownload au hawakupi nafasi ya kudownload sasa wewe tafuta Free VPN kama Hotspotshield VPN au Security Kiss VPN afu u-connect VPN ile speed kama walikua wamekubania unapata 35KBps basi utapanda mpaka 100-200KBps
 
kumbe maujanja yote hayo hayatumiki kwenye smartphone? tafuteni yanayotumika huko. siku hz pc ni kuongeza mizigo kwenye nyumba.
 
kumbe maujanja yote hayo hayatumiki kwenye smartphone? tafuteni yanayotumika huko. siku hz pc ni kuongeza mizigo kwenye nyumba.

Budget yako sh ngapi nikupe ya Android...
Ambayo utaweza tumia kwenye MAC na Windows pia
 
its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10. hata moja.tu.
Ni PM nikofoadie codes if you are in need of..
*****viva**********

INJECTION NI HABARI NYINGINE KABISA YAANI MPAKA RAHA
CREDIT KWA njunwa wamavoko



attachment.php
 
Last edited by a moderator:


Kaka Leo nalipa Deni lako kwa 2MB/sec
Hapo ilikua inapanda mpaka 2.3MB/sec ila nimekupa average ikishuka sana 1.8MB/sec na ndo uppepo ukivuma vibaya napata speed ya kijinga 1MB/sec

Kwa kweli Airtel ni mtandao wenye Kasi kweli hapa Tanzania achana na hawa Vodacom hawamfikiii hata kidogo

g32f.png
 
Kaka Leo nalipa Deni lako kwa 2MB/sec
Hapo ilikua inapanda mpaka 2.3MB/sec ila nimekupa average ikishuka sana 1.8MB/sec na ndo uppepo ukivuma vibaya napata speed ya kijinga 1MB/sec

Kwa kweli Airtel ni mtandao wenye Kasi kweli hapa Tanzania achana na hawa Vodacom hawamfikiii hata kidogo

g32f.png











[/QUOT


HAHAHAHHA HAYA NJUNWA
 
Last edited by a moderator:
Kaka Leo nalipa Deni lako kwa 2MB/sec
Hapo ilikua inapanda mpaka 2.3MB/sec ila nimekupa average ikishuka sana 1.8MB/sec na ndo uppepo ukivuma vibaya napata speed ya kijinga 1MB/sec

Kwa kweli Airtel ni mtandao wenye Kasi kweli hapa Tanzania achana na hawa Vodacom hawamfikiii hata kidogo

g32f.png













Naona mmeanza kuanika hadharani maujanja. Wasije ziba matundu tena ikawa noma.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom