Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Mwisho wa Tunnel Guru ulikuwa jana kutumia line ya Zantel, tafuteni maujanja mengine
Attachment mbona haionekani?
Mm niliwambiaga acheni kumpa settings hizi admin wa TunnelGuru sasa kuna mjinga yeye kukaa kimya hawezagi sasa mtajiju sasa...
Mm uzuri hizi huwa hazini affect ila naumia pale tu kama nimewauzia voucher watu afu kitu imebuma hata kama nina solution huwa sitaki kuwapa maana naonaga kati ya hao niliowauzia ndo causative agent
Mwl.RCT hii inakuhusu maana ninahakika wewe ndo umepeleka setting kwa Admin wa Guru
Mwl.RCT hii inakuhusu maana ninahakika wewe ndo umepeleka setting kwa Admin wa Guru
tatizo hatuwajui wanachofanya wenyewe ni kununua vocha tu unafikiri kuna resseler ataekataa kuwauzia vocha??
obvious ni yeye njunwa wamavoko kaamua kumstiri tuMwl.RCT hii inakuhusu maana ninahakika wewe ndo umepeleka setting kwa Admin wa Guru
mkuu mwendo inabidi uwe uleule kimyakimya tu kama party ya kiutu uzima tunakutana chemba kwa siku zote as usual tunalonga tunaweka mambo sawa,im sure kwenye hili miongoni mwetu kuna mtu aliteleza wasiohusika wakapata taarifa matokeo yake ndo hayaMtu ataona njunwa mzushi someni hiii thread na links zilizowekwa na blog moja uone na walio comment
Nyuma ya pazia Tunnel Guru na Voda