HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Ndugu yangu maadili yanaporomoka siku hadi siku, tujitahidi sana kwa wanaotuhusu(wa karibu na sisi) sababu hatuwezi kuingilia mfumo wa maisha wa mtu mwingine. Kwa kweli tujitahidi sana inawezekana ingawa mazingira ni magumu mnoSi afadhali hata miziki kuna tamthilia na vipindi vya ajabu ajabu mno watoto wanaachiwa tu kuangalia home, na wakitoka nje kuna vijarida na magazeti ya udaku ambayo yamejaa uchafu wote