Tungekuwa tunawaza kwa sauti...!!!

Tungekuwa tunawaza kwa sauti...!!!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1413302092388.jpg
 
Mi nampenda yule, mi namtaka yule
 
kwa kuwaza kwa sauti

wasichana " why dont you look where you go?

wavulana: WHy dont you go where you look?
 
Daa mkuu umenichekesha sn asubui hii,yn ingekuwa balaa,pasingekalika,wala kutawalika watu wengi wana mawazo hasi na wachache wana mawazo chanya
 
watoto wanacheza walichoona kwenye sinema/
kwenye magazeti kila siku habari za diamond na wema/

darasa ft Ben pol sikati tamaa
 
Nlikua nkiona kiungo cha siri cha mwanamke labda mfano umepita sehemu ukakuta anaogeshwa nalia

Hahahahaaaaaa hauko pekeyako HARUFU Mimi nilikuwa nakimbia kujificha
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaa hauko pekeyako HARUFU Mimi nilikuwa nakimbia kujificha
Filamu ilikuwa tunawekewa zenye maadili hata ndimi huwezi ona na hata kama mkiachwa peke enu watoto filamu mnazoachiwa mkijiwekea wenyewe ni zile ambazo zipo safi. Sasa hivi mtoto mdogo anaangalia filamu au miziki ambayo wako nusu uchi, tena na baadhi ya wazazi wala hawana wasi wanaangalia na watoto zao bila wasi
 
Si afadhali hata miziki kuna tamthilia na vipindi vya ajabu ajabu mno watoto wanaachiwa tu kuangalia home, na wakitoka nje kuna vijarida na magazeti ya udaku ambayo yamejaa uchafu wote
 
Back
Top Bottom