katika Uislamu cheo na madaraka si kitu cha kung’ang’ania au kukipigania kwa hila. Mtume Muhammad ﷺ alitufundisha kuwa cheo ni amanah (uaminifu) na mzigo mkubwa kwa mwenye kupewa.
🔹 Dalili kutoka Hadith:
Mtume ﷺ alimwambia Abdurrahman bin Samura:
Mtume ﷺ alimwambia Abu Dharr (RA):
🔹 Dalili kutoka Hadith:
Mtume ﷺ alimwambia Abdurrahman bin Samura:
(Hadith Sahih Bukhari na Muslim)"Ewe Abdurrahman! Usiviombe vyeo. Kwa kuwa ukipewa kwa kuviomba, utaachiwa wewe mwenyewe; lakini ukipewa bila kuviomba, utasaidiwa na Mwenyezi Mungu."
Mtume ﷺ alimwambia Abu Dharr (RA):
(Sahih Muslim, Hadith 1825)"Ewe Abu Dharr! Hakika wewe ni dhaifu, na uongozi ni amanah. Na hakika siku ya Qiyamah utakuwa ni fedheha na majuto, isipokuwa kwa yule aliyeuchukua kwa haki na akatimiza wajibu wake."