Tunga sentensi moja kupitia picha hii

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,352
9,321
72516c21b9ed8b5239c4295a2a68d8f5.jpg
 
lazima ajikombe kwa wakubwa ili kujificha nyuma ya migongo yao....{nasikitika sana kwani tofari la kichwa alilobamizwa nalo na baba wa kanisa limemchanganya sana akili}
 
Mzee yani hii zuga ya kwenda south..imetuliza upepo kabisa
..sasa mimi wacha niende mwanza kufanya matechnics ya kubadili zile docs za mijengo ya kule na pia nipite pale Kolomije..niakikishe mwalimu mkuu analiweka jina la poul kwa lista ya mliomaliza nao shule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom