Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,881
1. Mwaka huu nitaisoma namba polepole
2. Nimetoka kwenye v8 mpaka ukirobotoni
3. Siamini kama mkuu wa malaika waovu amekufa ameniacha hatujaenda wote motoni
4. Bora ningeitwa chawa kuliko Kiroboto ninaekaa kwenye manyoya ya kuku
5. Mama nenda polepole utaniua