Tunduru: JWTZ wazima wizi na mauaji ya waendesha boda, amani yarejea

Jeshi ni mwiko kutumika dhidi ya raia, kazi ya Jeshi ni kulinda raia, Watanzania wajinga sana na low IQ.

Jeshi na wanajeshi wanakuwa trained kupigana vita dhidi ya adui slide nje ya mipaka ya nchi na siyo raia wake eti wanakwenda kupiga bodaboda halafu mnasifu kwani Tanzania ni failed state hadi Jeshi lilinde amani?

Low IQ!
Exactly mkuu Jeshi limekula kiapo cha kulinda mipaka yetu, kazi ambayo imewashinda ndio maana nchi imegeuka kuwa ni short cut ya human trafficking, why msomali aweze kuingia nchini na kusafiri nchi nzima from namanga hadi kasumulu bila ya jeshi kuliona hilo?,tusishangilie ujinga hawa wanajeshi wamefanya murder hapa,na low iQ ya middle class wetu wanashangilia,
 
Jeshi ni mwiko kutumika dhidi ya raia, kazi ya Jeshi ni kulinda raia, Watanzania wajinga sana na low IQ.

Jeshi na wanajeshi wanakuwa trained kupigana vita dhidi ya adui aliye nje ya mipaka ya nchi na siyo raia wake eti wanakwenda kupiga bodaboda halafu mnasifu kwani Tanzania ni failed state hadi Jeshi lilinde amani?

Low IQ!
Moja kati ya majukumu yake ni kusaidia vyombo vingine vya ulinzi na usalama.
 
Uhamiaji kazi yao nini?
 
Moja kati ya majukumu yake ni kusaidia vyombo vingine vya ulinzi na usalama.

Labda hiyo ni unique kwa Tanzania, lkn Dunia nzima Jeshi halina business na raia kwani linaapa kuwalinda, kwanza nchi nyingi kuona Mwanajeshi mjini siyo rahisi, wengi wako kambini huko na ni mbali hata na makazi ya watu.

Kikatiba Jeshi haliruhusiwi kuwa deployed against raia bali ni against foreigners tu, lkn Tanzania ni kawaida kusikia Wanajeshi wamepiga raia maana yake ni kwamba hata labda hawaelewi kazi na jukumu lao ni nini, yaani wanapewa mafunzo ya kivita halafu wakimaliza wanaingia mtaani kupiga raia kuprove uanajeshi wao? Uliona wapi?
 
Jeshi ni mwiko kutumika dhidi ya raia, kazi ya Jeshi ni kulinda raia, Watanzania wajinga sana na low IQ.

Jeshi na wanajeshi wanakuwa trained kupigana vita dhidi ya adui aliye nje ya mipaka ya nchi na siyo raia wake eti wanakwenda kupiga bodaboda halafu mnasifu kwani Tanzania ni failed state hadi Jeshi lilinde amani?

Low IQ!
Hili Ni jizi afu limekariri Mambo ya Civics.
Unaitaje watu Low IQ?
Unaamini una uwezo mkubwa wa kifikra kuliko yeyote?
Kwa elimu gani br? Elimu ya kukariri desa?
Mwizi Ni mwizi tu. Tena mwizi muuaji akifa Kama aliowaua kipya Nini?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi Wanajeshi wanaingia mitaani kupiga raia waliofundishwa kuwalinda na kuwatetea iliona wapi Dunia hii?
 
Kwa maelezo yako, isingekuwa mdogo wO kuuawa mpaka sass boda wangekuwa wanapotea tu!
 
Mkuu Kijakazi umejitahidi kuwaelimisha achana nao, haya ndio matokeo ya elimu mfu iliyoleta upumbavu SIO ujinga tena, Jeshi wamepewa mafunzo ya kulinda mipaka ya nchi na ndio kiapo chao,kwa tuliopitia JKT original sio upuuzi mwingine ,katika zile kwata zaidi ya 60 hakuna hata kwata moja inayohusu raia, ni kwata za vita tu ndio maana kule hakuna rubber bullets au mabomu ya majonzi,kule kuna live bullets only na ndio ipo ndani ya kwata ya kijeshi, unapoona jeshi Lina patrol mipakani elewa wana live bullets na wakiingia mitaani pia elewa wana live bullets (shoot to kill),katika maisha yangu hapa Tanzania, binafsi nimeona mara mbili tu jeshi likiingia mitaani (matakwa ya politicians sio makamanda),machafuko ya machinga kariakoo na mbeya siku ya uchaguzi mkuu (why waliingiza jeshi mitaani, wao wanajua na sijui kama wameshawi ku patrol tena Mbeya),kutumia jeshi to control raia ni kielelezo cha failed state
 
Uko sahihi 100%
 
Labda hiyo ni unique kwa Tanzania, lkn Dunia nzima Jeshi halina business na raia kwani linaapa kuwalinda, kwanza nchi nyingi kuona Mwanajeshi mjini siyo rahisi, wengi wako kambini huko na ni mbali hata na makazi ya watu.

Kikatiba Jeshi haliruhusiwi kuwa deployed against raia bali ni against foreigners tu, lkn Tanzania ni kawaida kusikia Wanajeshi wamepiga raia maana yake ni kwamba hata labda hawaelewi kazi na jukumu lao ni nini, yaani wanapewa mafunzo ya kivita halafu wakimaliza wanaingia mtaani kupiga raia kuprove uanajeshi wao? Uliona wapi?
Hatuongelea kupiga raia wala hauna ushahidi wa wapi walienda kupiga raia bila sababu kuprove uanajeshi wao wale sio vichaa.
Katika inasema jukumu la jeshi ni KULINDA NCHI NA MIPAKA YAKE YA ARDHINI, ANGANI NA MAJINI
 
Naona bro umeropoka sana mpaka sasa.
Mexico mwaka huu kipindi mtoto wa Guzman (Elchapo) alipokamatwa wauza madawa walifanya vurugu na kuvamia baadhi ya miji km miwili.
Jeshi la polisi lilishindwa kudhibiti mapigano ya silaha na wale wahalifu.
Serikali ika deploy 100+ soldiers kupambana na hao wahalifu ndio utulivu ukapatikana!
Hilo je unalizungumziaje?
 
Mkuu Kijakazi umejitahidi kuwaelimisha achana nao, haya ndio matokeo ya elimu mfu iliyoleta upumbavu SIO ujinga tena, Jeshi wamepewa mafunzo ya kulinda mipaka ya nchi na ndio kiapo chao,kwa tuliopitia JKT original sio upuuzi mwingine ,katika zile kwata zaidi ya 60 hakuna hata kwata moja inayohusu raia, ni kwata za vita tu ndio maana kule hakuna rubber bullets au mabomu ya majonzi,kule kuna live bullets only na ndio ipo ndani ya kwata ya kijeshi, unapoona jeshi Lina patrol mipakani elewa wana live bullets na wakiingia mitaani pia elewa wana live bullets (shoot to kill),katika maisha yangu hapa Tanzania, binafsi nimeona mara mbili tu jeshi likiingia mitaani (matakwa ya politicians sio makamanda),machafuko ya machinga kariakoo na mbeya siku ya uchaguzi mkuu (why waliingiza jeshi mitaani, wao wanajua na sijui kama wameshawi ku patrol tena Mbeya),kutumia jeshi to control raia ni kielelezo cha failed state.
Doh punguzeni ujuaji mwingi
 
Hatuongelea kupiga raia wala hauna ushahidi wa wapi walienda kupiga raia bila sababu kuprove uanajeshi wao wale sio vichaa.
Katika inasema jukumu la jeshi ni KULINDA NCHI NA MIPAKA YAKE YA ARDHINI, ANGANI NA MAJINI
Hata mwenyewe namshangaa Tena anatumia kauli ya ku control raia.
Kwahiyo Polisi nao Wana control raia!?
Sidhani Kama anajua anachokieleza .
 
Naona bro umeropoka sana mpaka sasa.
Mexico mwaka huu kipindi mtoto wa Guzman (Elchapo) alipokamatwa wauza madawa walifanya vurugu na kuvamia baadhi ya miji km miwili.
Jeshi la polisi lilishindwa kudhibiti mapigano ya silaha na wale wahalifu.
Serikali ika deploy 100+ soldiers kupambana na hao wahalifu ndio utulivu ukapatikana!
Hilo je unalizungumziaje?
Yes jeshi lilipambana nao kwa live bullets, ilikuwa ni battles na hawakutumia rubber bullets au mabomu ya machozi
 
Back
Top Bottom