Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

Uongozi JF ni waombe jukwa la siasa ikifika ijumaa saa6 usiku lifungeni mpaka jumatatu watu wakishakunywa supu kuondoa hangover. Michango kwenye hii thread mingi ni ya kilevi kilevi. Watu wameshalewa.

Hao wananchi wanaondamana kwenda kituo cha polisi wawe wa mfano kwa wengine maana Lissu keshawalisha ujinga.

IMG_9721.jpg
 
Hivi Tz hatujifunzi tuu?? Maono ya wananchi huwezi kuyazuia kwa mabomu na mitutu!! Weka uwanja wazi watu washindane kwa hoja na wananchi waamue, vinginevyo ni kutafuta vurugu zisizo na maana!!

Hili vuguvugu la mabadiriko huwezi kulizuia kwa mitutu. Wenye mamlaka kuweni na busara!!
Vip ao chadema mnao waita Raia wamefanikiwa kumtoa uyo mhamiaji haram hahahaha uku mnaongea ila uwanjani konzi moja mbio

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mabomu yanapigwa mda huu kituo cha polisi Tunduma, wananchi wameandamana wanataka Polisi wamwachie mgombea Udiwani wa Chadema kata ya Majengo Boniface Mwakabanje ambaye anashikiliwa kituoni hapo tangu jana usiku kwa tuhuma za kutengenezwa na Polisi kwamba sio raia wa Tanzania

Hii ni tweet ya Hilda Newton mwanachadema
Sio Wana nch Sema Wana chama wa chadema wamepigwa mabom wakijaribu kumtorosha muhamiaj haram

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ushauri huo sikubaliani nao. Wakiuwa na nyie UWENI. Kodini hata silaha toka Zambia na Congo wafuate hao askali kwenye familia zao uwa yoyote anye wahusu. Kama ni mke au mtoto umemkuta uwa tu. Tumechoka na hao mgambo wa ccm. Uwa wafuate nyumbani kwao.
Watanzania kweli amechoka
 
Hivi Tz hatujifunzi tuu?? Maono ya wananchi huwezi kuyazuia kwa mabomu na mitutu!! Weka uwanja wazi watu washindane kwa hoja na wananchi waamue, vinginevyo ni kutafuta vurugu zisizo na maana!!

Hili vuguvugu la mabadiriko huwezi kulizuia kwa mitutu. Wenye mamlaka kuweni na busara!!
Ukizingatia kwamba polisi Ni wachache hawana uwezo was kupambana na nguvu ya umma duniani kote.
 
Ewe Mjomba Ak47 tuokoe wanao tuko jangwani miongo yapata sasa,usitupite unapodhuru wengine#AMEN
Ndio kilichobaki na wengi waliopo kwenye vyombo vya ulinzi hasa polisi waliingia kwaajili ya ajila tu. So kikiwaka wote hutawaona watatawanyika mpaka kiranja wao.
 
Mtu akiwa si raia unamdaka popote awe njiani au anaelekea chooni Huwezi SEMA tumsubiri Aende kunya kwanza ndio tuondoke naye atakunya mbele hata uhamiaji vyoo vipo
Utambue sasa hapo kuna maandamano sasa hivi.......timing ya kumkamata inamata sana. Sijuwi kama utanielewa hata.
 
Utambue sasa hapo kuna maandamano sasa hivi.......timing ya kumkamata inamata sana. Sijuwi kama utanielewa hata.
Sina shida na maandamano ila mtu akidakwa Ni ya kwake kipindi hiki Cha uchaguzi Hakuna mtu wa kuhangaikia dhamana Ni yeye mhusika aliyedakwa na ndugu zake vyama vinakuwa busy na uchaguzi

Timing hii sio nzuri kudakwa na polisi kesi nyingi kipindi hiki ukidakwa zitakuwa Baada ya uchaguzi . Kipindi hiki si kizuri Sana kwa mtu kudakwa Ni kwa hasara yake
 
Sina shida na maandamano ila mtu akidakwa Ni ya kwake kipindi hiki Cha uchaguzi Hakuna mtu wa kuhangaikia dhamana Ni yeye mhusika aliyedakwa na ndugu zake vyama vinakuwa busy na uchaguzi

Timing hii sio nzuri kudakwa na polisi kesi nyingi ukidakwa zitakuwa Baada ya uchaguzi . Kipindi hiki si kizuri Sana kwa mtu kudakwa Ni kwa hasara yake
Wangapi wamedakwa na hakukuwa na maandamano?, wangapi wamedakwa jana na kutoka kwa dhamana??........
 
Ukizingatia kwamba polisi Ni wachache hawana uwezo was kupambana na nguvu ya umma duniani kote.
Unaota kipindi Cha uchaguzi majeshi yote yabafanya kazi kwa pamoja .Uliza watu wa Dar es salaam wakwambie labda washamba huko Tunduma hamjui Hilo . Unadhani ukianzisha fujo majeshi mengine yatakuwa yanakutazama tu ukiadhibi polisi

Kawaulize watu wa mkuranga,kibiti na Rufiji waliokuwa wakishambulia na kuua polisi kilichowakuta
 
Wangapi wamedakwa na hakukuwa na maandamano?, wangapi wamedakwa jana na kutoka kwa dhamana??........
Sijui hayo yanayosemekana maandamano ndio nayasikia humu jamii Forums Mimi na comment tu sina ushahidi kuwa yapo na base tu kwenye assumption zilizoletwa
 
Ukizingatia kwamba polisi Ni wachache hawana uwezo was kupambana na nguvu ya umma duniani kote.
Nguvu ya umma iliwezekana tu pale jeshi lilipoasi na kuwa sehemu ya umma.Nchi hailindwi na polisi tu naona una vimawazo vya kishamba na kitoto
 
Back
Top Bottom