Tunduma, jamani miundo mbinu hali tete!!

Tunduma, jamani miundo mbinu hali tete!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,897
Reaction score
15,125
View attachment 112603

Foleni ya malori hapo Tunduma ni balaa.
Utaenda kama kilometa mbili au tau hivi na mamia ya malori yanayoenda Congo,Zambia Zimbabwe yapo hapo.

Magufuli aukumbuke mkoa wa Mbeya.
Sijasikia barabara mpya yoyote ikizinuliwa mkoani hapa.
 
Mkuu na wewe unaenda Congo nini
Nilipita sana hapo wakati naelekea Sumbawanga aise
Sijui kama barabara ya kwenda huko ina lami siku hizi maana sisi tulikula sana vumbi na tope na ile Elnino ya 1998 ilituweza sana
 
Tena ni moja ya mipaka inayoiingizia serikali mapato mengi...
 
Back
Top Bottom