Tundu Lisu kweli kiboko amchana Kikwete kuhusu kuingilia Idara ya Takukuru

Magamba Hawana hoja yyt wanang'aa sharubu tuu na kusinzia wakikurupuka usingizini wanaomba mwongozo na kugongagonga meza kupongeza upuuzi huku wakikenua meno kama chanuo, ingekua amri yangu ningewatoa wote mjengoni
Kuna WABUNGE wao hawajawahi kuchangia,ila wanaongoza kusema muongozo wa SUPIKA
 
sasa nani alikuwa anabisha kuwa mbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa magamba, isipokuwa shibuda tu,
 
Cheap politics, kuchukuwa habari za kijasusi zilizokuwa intentionally leaked na kupeleka bungeni., Hao majasusi huko kwao wanakozipeleka huchujwa na zisizo na mshiko kama hii wanazi leak, kwa wikileaks, watu wazugike na hilo wao huko wanafanya mengine. Ama kweli Lissu kichaka.
CCM's mindset person.Just a charcoal i dont expect anything white.
 
LISSU!UTAKUMBUKWA NA WATZ DAIMA KWASABABU MPO WACHACHE SANA ULIMWENGU WA TZ..KAMA DR.WA UKWEL SLAA na NYERERE
 
Cheap politics, kuchukuwa habari za kijasusi zilizokuwa intentionally leaked na kupeleka bungeni., Hao majasusi huko kwao wanakozipeleka huchujwa na zisizo na mshiko kama hii wanazi leak, kwa wikileaks, watu wazugike na hilo wao huko wanafanya mengine. Ama kweli Lissu kichaka.

Ww ni muongo sana, kazi yako kupotosha kila siku kwa maslahi ya wanaokutuma. Hii ishu ya wikileaks imewahangaisha na kuwaaibisha sana Marekani na bado wanahaha. Ukweli ni kwamba taarifa zilizokusanywa ni za kweli na ndio maana hakuna mtu kote duniani aliyejitokeza kupinga kila lililosemwa na wikileaks. Kiintelijensia, hii pia itawaathiri sana maana wanadiplomasia weng duniani wamegundua kwamba kila wanachoongea na wanadiplomasia wa marekani kinarekodiwa-kwa hiyo haiwezekani kwamba US wenyewe wali-leak makusudi hizo siri.
 
tundu lisu anawachana live takukuru, anawaponda ile mbaya. Huyu mkuu mimi namkubari kwa vubaya mno. Bunge zima hakuna kama yeye.
 
nilipenda mbunge yule mama wa cuf.sakaya.naye alimchana ngereja live
 
Hahahahaha! Natazama TBC mwenyewe niko hoi. Yaani mpaka mtangazaji mwenyewe akawa anaogopa kumwachia aongee mara amkatishe kuzungimza na ameona ni noma ile mbaya. Masikini mkurugenzi wa TAKUKURU, hana hamu. Kesi 18 Tanzania nzima? Yaani wagombea uraisi walikuwa zaidi ya 3, wabunge nafasi zaidi ya mia tatu na wagombea zidisha mara 3, nafasi za madiwani elfu moja piga mara 3 na unatuambia mumefanikiwa kufungua kesi 18? Basi Tanzania tumeshinda vita vya rushwa atiii? Mmh! Inatia shaka.
 
ukiunganisha akili zote za wabunge wa ccm pamoja na viongozi wao wa juu hawa fikii hata robo ya akili yangu,hapo namtoa bi kiroboto kwani nikimuweka awashusha hata hiyo robo hawainusi.Sasa ndio wanatutolea maamuzi.
 
mtangazaji anamkatiza anaogopa ataonekana ana agenda ya siri kumwalika LISSU
nomaaaaaa
 
mtangazaji anamkatiza anaogopa ataonekana ana agenda ya siri kumwalika LISSU
nomaaaaaa
Sio kweli. Ukishamwalika Tundu Lissu hutegemei aje kuimba "mwenge wa uhuru oyee," anakuja kuipasua Serikali ya CCM. TBC wanalijua hilo kabla ya kumuita, hakuna anaeogopwa, heko and more power to TBC kwa kumuita Lissu.
 
Back
Top Bottom