Tundu Lisu kweli kiboko amchana Kikwete kuhusu kuingilia Idara ya Takukuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lisu kweli kiboko amchana Kikwete kuhusu kuingilia Idara ya Takukuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muonamambo, Jul 4, 2011.

 1. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Alikuwa anachangia kwenye bunge na akanukuu kauli ya Hosea aliyoitoa kwa balozi ya marekani kwamba rushwa kubwa zinashindikana kukomeshwa kutokana na vingozi wa juu kuzikingia kifua. Anasema Kauli hii inaonyesha hatari iliyopo kama Rais wa nchi anaingilia maamuzi ya takukuru na watumishi kwa kuogopa kufukuzwa wanaacha kuziandama rushwa kubwa.

  Bila kumungunya wala kumeza meza maneno anaomba bunge hilo kujadili jambo hilo na wahusika wazomee bungeni kabla hawajakutana na nguvu ya umma. wabunge kama hawa ndio tunaowahitaji na sio wale wa ndiooooooooooooo na kupiga meza za bunge hovyohovyo
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Safi sana Lissu.............................. Wabunge wa CCM wanatuharibia meza kazi yao kuzipiga kila kukicha kwa kutetea uozo.
   
 3. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Du!! Hii kali
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Way to go Lissu
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mmmmh.......TAKUKURU haiwez kuwa huru kwa muundo wake
   
 6. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Big up Lissu!
   
 7. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Tungekuwa na wabunge wa namna hii kweli tunahitaji miaka kumi tu na nchi hii ingekuwa na maendeleo yasiyokuwa na mfano
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  UTASKIA........anauza sura kwenye Runingaaaaaa.........kuna watu huwa sielewi walipataje elimu hadi wakaitwa MAJAJI,MADAKTARI,MAINJINIA,WALIMU,.........YANIIIII
   
 9. R

  Red one Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Lisu ni kichwa na huwa makamanda wa cdm hawana muda wa kamumunya maneno wanasema kile kilichopo na huwa ni wabunifu sana so keep it up lisu
   
 10. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  kuna watu mindset zao bado ni zimesetiwa ki single party state.
   
 11. m

  mndeme JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndio tofauti kati ya wabunge bora na bora wabunge
   
 12. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kweli kabisa RED ONE yaani LISU na CDM kweli kiboko wanaita shoka shoka na sio panga la kukatia kuni na wako straight forward nasio wabunge wa CCM ambao uanza kwa kumshukuru Rais, then waziri mkuu , then mh spika ,halafu wapiga kura baadaye wake/waume zao muda ukiisha wanaunga mkono hoja . tutafuka kweli?
   
 13. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna kila haja na sababu kwa PCCB kuwajibika kwa BUNGE.
   
 14. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  utasikia na hapo mtu anaomba muongozo kwa spika
   
 15. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Jamaa ana'dhamiri sahihi na nchi yetu, huwezi unamfananisha na kina Komba. Kwa kifupi Tundu lissu ni sawa na wabunge 100 wa SisiEmu.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hili linawezekana.......lakini je huko hakuna kigingi kingine???????SUPIKA.......
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wanatetea mijitumbo YAO...........
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuna WABUNGE wao hawajawahi kuchangia,ila wanaongoza kusema muongozo wa SUPIKA
   
 19. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0

  Huyo lukuvi
   
 20. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Safi kabisa Lisu!twendee sasaaa
   
Loading...