Tundu Lissu: Walipotelea wapi waasisi wa Muungano?

Taifa hili lazma liwe na ukomo wa kutoa maoni .Mambo ya nchi lazma yazibitiwe.Viongozi mkiyaacha uchi watanzania wataingia barabarani.Chuki na viporo vya majeraha tumeisha zika.Tujenge TZ yetu.Hata kama twataka serikali tatu au mbili jaribuni kusemea hayo tu.Hayo machungu utnaweza kufanya nchi isitawalike.Kama hivyo Majeshi yatachukua nchi.

usitishe watu kwa jeshi kuchukua nchi,hao wanajeshi nao si ni watz? Bora wanajeshi wachukue nchi kuliko haya mafisadi ya ccm yaliyoshindwa kwa miaka 50!
 
To be honest, you need to be strong to listen to any of Tundu Lissu's speeches. Yaani anavyotoa hotuba lazima uogope athee!!!!!!!
 
Wapi lisu mnafiki siasa hizo?
Mkuu, Inawezekana Tundu Lissu akawa ni mnafiki lakini ukisema tu mnafiki bila kubainisha unafiki wake huwatendei haki wanaotaka kujua unafiki wake.

Please, share with us. Weka hapa unafiki wake na sisi tuufahamu.
 
Unafiki wake lisu ni pale anapoonekana kuwa busy kuwasemehea wazanzibar kana kwamba anawapenda sana kuliko wao wajipendavyo.
Jaman tufike hatua tuwe makini na ndimi zetu. Hata kama unataka kwenda ikulu, usitumie uharamia na mbinu chafu za kutoa kauli za ovyo eti kisa madaraka.

Naamini kwenye uhuru wa kutoa mawazo. Kumbe na uhuru usio na mipaka naona ni kama majanga kwa taifa...
 
Lissu amechanganyikiwa kaeni naye mbali. Akiongea bungeni kichwa kinadonoa utadhani kuku anatafuta riziki yake ardhini. Mikono siku hizi kapunguza baada ya bunge kumuonya kwa kuharibu samani za bunge. Ngoja sasa waende kuwahadithia uongo wananchi kama watawasadiki! Hofu yangu wasije kupigwa mawe.
 
Mkuu anachosema Lissu ni bahati mbaya Wazanzibar hawana jukwaa la kuyasema hayo. Wanaothubutu kusema ama wananyang'anywa uanachama wa CCM au wanafungiwa kule Kigamboni (Aboud Jumbe). Acha awasemee na kama wao hawataki hawasemee waje waseme na wakate wenyewe asiwasemee. Hebu niambie ni kipi alichokisema Lissu ambacho kinakusukuma useme tuwe makini na ndimi zetu. Alichokisema Lissu kipo mpaka kwenye vitabu sasa sijui shida iko wapi.

Tiba
 
Unafiki wake lisu ni pale anapoonekana kuwa busy kuwasemehea wazanzibar kana kwamba anawapenda sana kuliko wao wajipendavyo.
Jaman tufike hatua tuwe makini na ndimi zetu. Hata kama unataka kwenda ikulu, usitumie uharamia na mbinu chafu za kutoa kauli za ovyo eti kisa madaraka.

Naamini kwenye uhuru wa kutoa mawazo. Kumbe na uhuru usio na mipaka naona ni kama majanga kwa taifa...
Inawezakana amejenga hoja zilizobebwa na mzizi unaosema sisi wote ni Taifa moja!. Matatizo ya Zanzibar na wazanzibari ni matatizo yake!.

Yes, ni kweli uhuru usiokuwa na mipaka ni fujo lakini jambo linalosumbua kichwa ni uwepo wa mwisho wa hiyo mipaka. Utabainisha vipi mipaka ya uhuru kama hakuna sheria tuliyojiwekea kwa sababu hata mila na desturi haziwezi kuwa ndiyo mipaka kisheria. Ninavyoelewa, Penalty ya kuvunja mila na desturi ni debatable.
 
Taifa hili lazma liwe na ukomo wa kutoa maoni .Mambo ya nchi lazma yazibitiwe.Viongozi mkiyaacha uchi watanzania wataingia barabarani.Chuki na viporo vya majeraha tumeisha zika.Tujenge TZ yetu.Hata kama twataka serikali tatu au mbili jaribuni kusemea hayo tu.Hayo machungu utnaweza kufanya nchi isitawalike.Kama hivyo Majeshi yatachukua nchi.
Siamini kama katika kudai uhuru na hasa uhuru wa Zanzibar kuna mamabo mabaya sana ambayo yanaweza kusababisha watu kuingia barabarani.

Ninachoona ni wanasiasa wetu wanayakuza tu kwa manufaa ya siasa zao. Matatizo ya kisiasa ya Zanzibar hayawezi kufikia kama yalivyokuwa ya South Africa, Rwanda, Kenya au hata Uganda ambapo baadhi ya hizi nchi mpaka ziliamua kuunda tume ambazo zilikuwa zinajulikana kama Truth and Reconciliation Commission

Yes, Politically, Zanzibar is a divided nation, hili wala halina ubishi. Vyama vya siasa huko Zanzibar vinatoa picha kamili ndiyo maana katika bandiko langu la pili nilimpa hongera Mh. Tundu Lissu kama kweli anaweza kuubeba mzigo wa siasa za Zanzibar mpaka mwisho wa safari.

Kwa sasa Wazanzibari wanaweza wakaonekana wako wamoja katika kudai Zanzibar huru lakini siamini kama hiyo Zanzibar huru wakiipata itafanya waendelee kuwa wamoja.
 
Taifa hili lazma liwe na ukomo wa kutoa maoni .Mambo ya nchi lazma yazibitiwe.Viongozi mkiyaacha uchi watanzania wataingia barabarani.Chuki na viporo vya majeraha tumeisha zika.Tujenge TZ yetu.Hata kama twataka serikali tatu au mbili jaribuni kusemea hayo tu.Hayo machungu utnaweza kufanya nchi isitawalike.Kama hivyo Majeshi yatachukua nchi.
Acha ujinga wewee!... Kama Baba yako angeuawa hivi ungeacha kusema?.... Kama watu wanaua watu makusudi kwa nini wasisemwe?!... Acha Ujinga kabisa wewe!
 
Lissu amechanganyikiwa kaeni naye mbali. Akiongea bungeni kichwa kinadonoa utadhani kuku anatafuta riziki yake ardhini. Mikono siku hizi kapunguza baada ya bunge kumuonya kwa kuharibu samani za bunge. Ngoja sasa waende kuwahadithia uongo wananchi kama watawasadiki! Hofu yangu wasije kupigwa mawe.
Wajinga mko wengi!... Lakini tutawaelimisha mpaka ujinga huu uwatoke!.. Wewe unadonoa kwa miguu yako? Wewe unavunja wapi samani?!...
 
To be honest, you need to be strong to listen to any of Tundu Lissu's speeches. Yaani anavyotoa hotuba lazima uogope athee!!!!!!!
Mkuu, kitu gani kinakufanya uogope kwenye hotuba za Mh. Lissu?.
 
Si alisema muungano haupo Na nchi ni haramu?? Leo anawatetea waliouasisi!!!. Kuna mipango mingine inahitaji akili ya kawaida Sana kuipanga.
 
Mkuu.
Intarahamwe ni ma CCM.
Source Proff Lipumba
Duh, hii ni kali katika siasa. CCM wana majina mengi kweli!.

Kama Prof. Lipumba alikuwa ana maana ya interahamwe katika mantiki ya ubaguzi basi hata yeye atakuwa ni Interahamwe kutokana na nyendo zake za kisiasa, lakini kama alikuwa ana maana ya kutania basi hilo halina uzito wowote. Utani ni mojawapo ya jadi nchini.
 
Kwa mtazamo wangu mambo hayo ya mauaji ya wanasiasa haoyaonekana yalifanyika Zanzibar chi
 
Mauaji ya wanasiasa hao kwa mujibu wa Lissu yalifanyika Zanzibar na serikali ya mapinduzi sasa kwa nini yasiulizwe kwenye baraza la wawkilishi. Hizo ndo zilikiwa siasa za Zanzibar wakati huo wao ndo awtakuwa na maelezo bora kuliko serikali ya muungano.
 
Duh, hii ni kali katika siasa. CCM wana majina mengi kweli!.

Kama Prof. Lipumba alikuwa ana maana ya interahamwe katika mantiki ya ubaguzi basi hata yeye atakuwa ni Interahamwe kutokana na nyendo zake za kisiasa, lakini kama alikuwa ana maana ya kutania basi hilo halina uzito wowote. Utani ni mojawapo ya jadi nchini.

Hapana Mkuu.
Alimaanisha ma CCM ni mabaguzi na mauaji kabisa...
 
Nafikiri Tundu Lissu inabidi mumuelewe sana. Jamaa akili ipo sana na anajua kutega watu wa Ccm.

Sasa hivi anazidi kuwatega na kuwasukuma ukutani. Unakumbuka kesi ya hati y Muungano? Watu kibao walishaomba hiyo karatasi na hawakuiona ila Lissu akawabana wakaonyesha. Hata kama ni feki ila walionyesha.

Sasa hivi kuna kitu anapanga, akija kuwamalizia basi watakuwa hoi. Tatizo ni kuwa huwezi kumjibu kwani hujui anaenda wapi na utaaibika bure kesho yake.
 
Back
Top Bottom