crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,210
Taifa hili lazma liwe na ukomo wa kutoa maoni .Mambo ya nchi lazma yazibitiwe.Viongozi mkiyaacha uchi watanzania wataingia barabarani.Chuki na viporo vya majeraha tumeisha zika.Tujenge TZ yetu.Hata kama twataka serikali tatu au mbili jaribuni kusemea hayo tu.Hayo machungu utnaweza kufanya nchi isitawalike.Kama hivyo Majeshi yatachukua nchi.
Kuna watoto wazee na jamaa wa walio uliwa hivyo jeraha haliondoki milele kama hakuna ukweli wa masuala haya ya kuua watu kisingizio kikiwa muungano. Na vifo vyenyewe ni vya kupotezwa bila ya kujulikana wapi wamezikwa. Haya tulifikiri Iddi amin tu kumbe na sie tumedhulumu roho za raia wasio hatia.
Litazikwa hili pale wahusika watapoomba radhi na kuwaonesha jamaa za wafiwa wapi yapo makaburi yao.
Otherwise haya yatarudi mpaka haki ipatikane ndio chapter hii itafungwa.